Tukutane tuliowahi kunusurika na Kifo

Tukutane tuliowahi kunusurika na Kifo

Nikiwa mtoto wa miaka 6, nikinusurik na kifo baada ya kuruka sarakasi juu angani halafu ukiwa angani unajigeuza kichwa juu miguu chin ndo unatua.

Sasa mimi sijui nilibugi step, niliruka nikaja kutulia shingo, weee, nilipoteza mawasiliano ya ulimwengu huu halisi nikaingia ulimwengu mwingine ambao huwezi kufuny maamuzi binafsi.

Mungu mwema baada ya nusu saa nikaanza kuuona ulimwengu tena halisi.
From there sijawahi kuruka hizo sarakasi, halafu nimekumbuka ngoja nimuite mwanangu nimkanye asije jaribu huu ujinga.
Bro hili lilinikutaga aisee. Mi nilikuwa kila sauti kali ikiwa karibu yangu inaniumiza kifua, nikilia au nikicheka ni kama kuna mtu kanichoma kisu kifuani
 
Mimi nilipata ajali ya Gari likasagika lote nikachomoka,nikawahi lift ya Ndege ikaanguka baharini ikateketea nikadandia Meli ikazama,nikaruka nikazama kwenye Mdomo wa Papa bahati mbaya akaninya nikarushwa ng'ambo ya Bahari na Mawimbi,Sitaki kukumbuka nilivyonusurika ukiangalia kwa undani ni Mipango tu ya Mungu.
"Arooo"
 
Rambo
 
1.natoka Arusha kusalimka familia tar 21.4.2014 nikielekea Iringa kazin..kufika maeneo ya iyovi kwenye Kona Niko na vw(golf)nilikula mzinga Mara nne..gari ikiwa ndo in miez mitatu tangu ninunue..nilipata majeraha kidogo...namshukuru Mungu Sana...

2.mwaka 2019natokea kazin Arusha( ilibid niungane na familia yangu mke na mtoto wetu) nikiwa njian nikapigiwa Sim na mkuu wangu..ili kupokea maelezo vizur ikabid nipak gar niongee iwa Uhuru Zaid...nikiwa katika mazungumzo na Sim mida ya saa nne na dk kadhaa usiku gafla ikapak gar mbele yangu ikiwa imesha taa full...nikamwambia boss nimevamiwa..sikujua hili Wala Lile..kwa kupaniki nikarud rivaz I'll niondoe gari..ila narud rivaz ili nitoke nikablokiwa na hiyo gari..wakashuka jamaa wawili na silaha..wakapiga risas juu Kama tatu..nikasimama...wakanitoa nje ya gari..mmoja akaniweke silaha kichwani alisema ntakufumua ubongo...wakachukua simu,pesa, na card za bank .wakasema sis Ni askar unafanya nini hapa..unapanga kufanya uhalifu najitete hapana nilikuwa naongea na Kaka yangu jamaa hawaelewi..mmoja akaendesha gar yangu..nikapigwa pingu..tukaanza kwenda Kama Moshi ..tukavuka Kia..njian wananiuliza weww Ni Nan..nawambia mkulima wa carrot..wakada niwapatie mil 4 nikawambia Sina..mmoja akaulkza hiz kad hazina pesa nikasema ndio..jamaa Wakawa Kama wameniteka hivi wanataka niwape hela tu.wakashuka had mil Moja nikasema Sina..wakanipiga weeeee....badae tukaanza kurudi Tena Arusha..nikawa nimeshawamark sura..kufika maji ya chai jamaa was gar ile nyingine walikuwa nayo akasimama..na huyu aliyekuwa anaendesha gar yangu akasimama..jamaa was mbele wakaja kwenye gar yet wakawaita hawa jamaa wawili waliokuwa kwenge gar yangu..wakashuka..nikabaki peke yangu..jamaa wakapanda gar lao wakaondoka na Sim yangu na tsh 80000 zilizokuwa ndan ya gar...nilikaa pale had saa kumi na Moja alfajir..ndo nikatoka...
MUNGU anajibu Sana Hawa askari Kati yao Ni wale waliofukuzwa kaz mwaka Jana baada ya kumuwekea pembe za tembo fake Prof Maeda na wakamtapeli million 70..
Nikikumbuka matuki..washenz Sana Hawa walipiga Sana mbwa Hawa na vitako vya bunduki....nimeenda kituoni hapo kulipoti aiseee nilisumbuliwa Sana nikawambia nawatambua wawili kwa sura lkn gwaride la utambuz halikufanyika..askari wa USA nyoko sana
 
1.natoka Arusha kusalimka familia tar 21.4.2014 nikielekea Iringa kazin..kufika maeneo ya iyovi kwenye Kona Niko na BMW (golf)nilikula mzinga Mara nne..gari ikiwa ndo in miez mitatu tangu ninunue..nilipata majeraha kidogo...namshukuru Mungu Sana...

Daah pole sana sana very emotional story
 
Nawe tiririka na yako ndugu mwana JF. Ahsanteni pia.
Ilikuwa 2020. Ilikuwa ni siku ya kwenda kupiga kampeni kwa wajumbe pale Ukonga. Nilitokea kuumwa sana such that nikashindwa kwenda kuwashawishi wajumbe. Ikabidi nielekee hospitali. Nilivyofika Kibo complex nikaingia toilet maana nilipata intestinal bleeding. Ghafla nikajikuta nimedondoka chini nikiwa nimeshazimia.... Nilikuja kujikuta niko Rabinsia hospitali.
 
Situation kama hizi anayetulinda nazo huwa ni mungu tu.
 
1.natoka Arusha kusalimka familia tar 21.4.2014 nikielekea Iringa kazin..kufika maeneo ya iyovi kwenye Kona Niko na BMW (golf)nilikula mzinga Mara nne..gari ikiwa ndo in miez mitatu tangu ninunue..nilipata majeraha kidogo...namshukuru Mungu Sana...

2.mwaka 2019natokea kazin Arusha( ilibid niungane na familia yangu mke na mtoto wetu) nikiwa njian nikapigiwa Sim na mkuu wangu..ili kupokea maelezo vizur ikabid nipak gar niongee iwa Uhuru Zaid...nikiwa katika mazungumzo na Sim mida ya saa nne na dk kadhaa usiku gafla ikapak gar mbele yangu ikiwa imesha taa full...nikamwambia boss nimevamiwa..sikujua hili Wala Lile..kwa kupaniki nikarud rivaz I'll niondoe gari..ila narud rivaz ili nitoke nikablokiwa na hiyo gari..wakashuka jamaa wawili na silaha..wakapiga risas juu Kama tatu..nikasimama...wakanitoa nje ya gari..mmoja akaniweke silaha kichwani alisema ntakufumua ubongo...wakachukua simu,pesa, na card za bank .wakasema sis Ni askar unafanya nini hapa..unapanga kufanya uhalifu najitete hapana nilikuwa naongea na Kaka yangu jamaa hawaelewi..mmoja akaendesha gar yangu..nikapigwa pingu..tukaanza kwenda Kama Moshi ..tukavuka Kia..njian wananiuliza weww Ni Nan..nawambia mkulima wa carrot..wakada niwapatie mil 4 nikawambia Sina..mmoja akaulkza hiz kad hazina pesa nikasema ndio..jamaa Wakawa Kama wameniteka hivi wanataka niwape hela tu.wakashuka had mil Moja nikasema Sina..wakanipiga weeeee....badae tukaanza kurudi Tena Arusha..nikawa nimeshawamark sura..kufika maji ya chai jamaa was gar ile nyingine walikuwa nayo akasimama..na huyu aliyekuwa anaendesha gar yangu akasimama..jamaa was mbele wakaja kwenye gar yet wakawaita hawa jamaa wawili waliokuwa kwenge gar yangu..wakashuka..nikabaki peke yangu..jamaa wakapanda gar lao wakaondoka na Sim yangu na tsh 80000 zilizokuwa ndan ya gar...nilikaa pale had saa kumi na Moja alfajir..ndo nikatoka...
MUNGU anajibu Sana Hawa askari Kati yao Ni wale waliofukuzwa kaz mwaka Jana baada ya kumuwekea pembe za tembo fake Prof Maeda na wakamtapeli million 70..
Nikikumbuka matuki..washenz Sana Hawa walipiga Sana mbwa Hawa na vitako vya bunduki....nimeenda kituoni hapo kulipoti aiseee nilisumbuliwa Sana nikawambia nawatambua wawili kwa sura lkn gwaride la utambuz halikufanyika..askari wa USA nyoko sana
Mkuu BMW(golf) ndio gari gani?
 
Mkuu akili ya haraka haraka hapo wewe ungefanyeje ungesimama?
Hahaha nimecheka sana baada ya kuzinduka kichwa kikiwa kinakuuma kwa mzimio wa hofu kuu uliokukuta. Ili uweze kujiamini kwenye matukio kama hayo lazima uwe umepata mafunzo yoyote ya self difence. Binafsi nisingekimbia amini mkuu
 
4.png
 
Wakati niko mdogo Nilii anguka kwenye mti nikiwa nacheza nika zimia
 
Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa Afya.
Wakati tunaendelea kupambana na Uchumi wa kati.
Tujikumbushe tuliowahi kunusurika na Kifo.

Binafsi hii imenikuta mwaka juzi tu hapa. 2020.

Nilipata mualiko wa kwenda kwenye harusi ya ndugu yangu mtoto wa Mamkubwa wangu alikuwa akiolewa.

Binafsi siku hiyo sikuwa na ratiba yoyote ya kutoka lakini kwa sababu ni ndugu yangu na hilo alipingiki. Nilijiandaa kikamilifu. Na kufika eneno husika kwa shughuli hiyo. Hakukuwa mbali na napoishi, nilijongea mpaka eneo husika kwaajili ya kuifurahia shughuli ile. Ukumbuke hapo nilipokuwa nikiishi nilikuwa nimepanga hivyo hata wakati wa kuondoka niliondoka peke yangu.

Shughuli iliendelea kuwa bora na iliotaliwa na uchangamfu mpaka panapo majira ya saa nane usiku.
Wakati wa kuondoka sikuwa peke yangu nilikuwa na vijana wenzangu wengine tunaofahamiana na wote tulikutana eneo husika hii ilitufanya tusiwe na hofu kabisa. Sasa wakati tukiwa njiani kila mtu apate kuifikia nyumba anayoishi ilitubidi tugawane ili kila mtu aende zake kwa maana tulikuwa hatuishi pamoja.

Wakati nikiwa peke yangu huku yakiwa yametimia majira ya saa tisa usiku, nilifika hatua ambayo ni karibu na nyumbani nilichotakiwa kufanya ni kuvuka barabara iliotaliwa na kijigiza hafifu ili niweze kuingia ndani.

Hakika kwa hofu niliokuwa nayo kabla ya kuvuka barabara ilinibidi nitazame upande wa juu wa barabara hiyo kwa usalama wangu. Daah sikuamini macho yangu mtu nisiomfahamu alikuwa akija nilipo kwa kasi sana huku akionekana amedhamiria kunikamata. Nilianza timua mbio na kufanikiwa kufika sehemu ambayo najua nikijitosa navuka ukuta na kuingia nyumbani.

Kupitia kujitosa kule kwa kupanda ukute ule. Nilifanikiwa kuingia ndani ila wakati wa kushuka chini nilianguka vibaya sana. Nilikuja kushtuka ni majira ya saa kumi na moja nipo pale pale huku nikihisi maumivu makali kwenye kichwa changu.

Nyumbani nilifanikiwa kuwapa taarifa na huo ukawa mwisho wangu wa kutoka usiku.

Nawe tiririka na yako ndugu mwana JF. Ahsanteni pia.
Mbona hiyo siyo kunusurika Bali uliumia tuu hakuna aliyekukosakosa kama Lissu.
Leta Visa vya kutisha siyo kuruka ukuta.
 
Hahaha nimecheka sana baada ya kuzinduka kichwa kikiwa kinakuuma kwa mzimio wa hofu kuu uliokukuta. Ili uweze kujiamini kwenye matukio kama hayo lazima uwe umepata mafunzo yoyote ya self difence. Binafsi nisingekimbia amini mkuu
Ndio only one way kwasababu huwezi jua anayekukimbiza anakukimbiza kwasababu ipi.
 
Back
Top Bottom