Tukutane NMB, Mshahara umetoka

Napofanya kazi mshahara wa december mwaka jana ulitoka tar 15......halaf january ukatoka 23...nilitamani kulia na kusaga meno mbona
 
Mnadekezwa sana
Yaani kazi mnafanya nusu mwezi halafu mnalipwa.

Kweli dr john anawapenda wafanyakazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…