Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 148 Reaction score 259 Feb 18, 2026 #1 Habari JF-members! Ni dharau gani walikuonesha watesi wako ikakupa moyo wa kupambana zaidi?
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,562 Reaction score 8,089 Feb 18, 2026 #2 Mambo ni mengi sana watesi wangu ni pamoja na ndugu zangu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,928 Reaction score 828,569 Feb 18, 2026 #3 Just imagine
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,211 Reaction score 79,685 Feb 18, 2026 #4 Mshana Jr said: Just imagineView attachment 3545655 Click to expand... Astakafiru😀😃😄😁
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Feb 18, 2026 #5 Mshana Jr said: Just imagineView attachment 3545655 Click to expand... Angeanzia UVCCM huko, mwisho ana ukwaa ubunge. Sijajua CV yake upande wa Elimu, lakini km Baba Levo ni mbunge, ndo ashindwe yeye??
Mshana Jr said: Just imagineView attachment 3545655 Click to expand... Angeanzia UVCCM huko, mwisho ana ukwaa ubunge. Sijajua CV yake upande wa Elimu, lakini km Baba Levo ni mbunge, ndo ashindwe yeye??
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 2,493 Reaction score 5,648 Feb 18, 2026 #6 cocastic said: Angeanzia UVCCM huko, mwisho ana ukwaa ubunge. Sijajua CV yake upande wa Elimu, lakini km Baba Levo ni mbunge, ndo ashindwe yeye?? Click to expand... Nasikia ni shoga
cocastic said: Angeanzia UVCCM huko, mwisho ana ukwaa ubunge. Sijajua CV yake upande wa Elimu, lakini km Baba Levo ni mbunge, ndo ashindwe yeye?? Click to expand... Nasikia ni shoga
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 2,493 Reaction score 5,648 Feb 18, 2026 #7 nakwede97 said: Mambo ni mengi sana watesi wangu ni pamoja na ndugu zangu Click to expand... Ndugu ni jau
nakwede97 said: Mambo ni mengi sana watesi wangu ni pamoja na ndugu zangu Click to expand... Ndugu ni jau
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,187 Reaction score 28,237 Feb 18, 2026 #8 Waalimu walinidharau wakadai kuwa sitafaulu jambo lililonipa hasira nikapambana hadi nikafaulu. Leo hii nina elimu ya hapa na pale!/today I have an education of here and there! Monetary doctor Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr.
Waalimu walinidharau wakadai kuwa sitafaulu jambo lililonipa hasira nikapambana hadi nikafaulu. Leo hii nina elimu ya hapa na pale!/today I have an education of here and there! Monetary doctor Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,211 Reaction score 79,685 Feb 18, 2026 #9 secretarybird said: Waalimu walinidharau wakadai kuwa sitafaulu jambo lililonipa hasira nikapambana hadi nikafaulu. Leo hii nina elimu ya hapa na pale!/today I have an education of here and there! Monetary doctor Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr. Click to expand... 😄😁😁
secretarybird said: Waalimu walinidharau wakadai kuwa sitafaulu jambo lililonipa hasira nikapambana hadi nikafaulu. Leo hii nina elimu ya hapa na pale!/today I have an education of here and there! Monetary doctor Dr am 4 real PhD Vincenzo Jr. Click to expand... 😄😁😁
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 3,475 Reaction score 6,461 Feb 18, 2026 #10 Unatafuta teuzi kwa nguvu sana.
Scott junior JF-Expert Member Joined Mar 24, 2022 Posts 2,391 Reaction score 3,155 Feb 18, 2026 #11 .
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 4,889 Reaction score 8,210 Feb 18, 2026 #12 Mama etu alifariki tukiwa wadogo sanaaa 3yrs mama alifariki ila Mzee alikomaa alitulea mwenyewe kwa kumchukua dada wa mama aje kutulea hatukupelekwa popote pale na hapo tupo 9 kwaio sijui shida za walezi Kwa hili sifa yake apewe tu Mzee wangu
Mama etu alifariki tukiwa wadogo sanaaa 3yrs mama alifariki ila Mzee alikomaa alitulea mwenyewe kwa kumchukua dada wa mama aje kutulea hatukupelekwa popote pale na hapo tupo 9 kwaio sijui shida za walezi Kwa hili sifa yake apewe tu Mzee wangu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Feb 18, 2026 #13 Mvinyo mpya said: Nasikia ni shoga Click to expand... Shoga hawezi kuwa mbunge??
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,187 Reaction score 28,237 Feb 18, 2026 #14 cocastic said: Shoga hawezi kuwa mbunge?? Click to expand... Sijui.
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,676 Reaction score 31,978 Feb 18, 2026 #15 Mshana Jr said: Just imagineView attachment 3545655 Click to expand... Kampeni ya leo sio poa mkuu😅
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,676 Reaction score 31,978 Feb 18, 2026 #16 Mvinyo mpya said: Nasikia ni shoga Click to expand... Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾
Mvinyo mpya said: Nasikia ni shoga Click to expand... Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Feb 18, 2026 #17 secretarybird said: Sijui. Click to expand... Ouk
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Feb 18, 2026 #18 Seran said: Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾 Click to expand... 😂😂😂😂😂
Seran said: Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾 Click to expand... 😂😂😂😂😂
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 1,046 Reaction score 1,485 Feb 19, 2026 #19 Seran said: Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾 Click to expand... James delicious alifariki zamani cc rubii
Seran said: Ana miaka mingi kwenye game huyu tangu kachafu kachafu sikuhizi anang’aa hivi🫴🏾 Click to expand... James delicious alifariki zamani cc rubii
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 10,676 Reaction score 31,978 Feb 19, 2026 #20 gwapole said: James delicious alifariki zamani cc rubii Click to expand... How comes🫢