hapo lazima ukutane na Muuza Sura na ukizubaa mwana si wako!Kwa member aliepo Uhuru peak tujumuike, ukiona mtu alie kaa na mwanamke mzuri kuliko wote ujue ndio mimi.
haha.!! mkuu na wewe karibu Tunduma boda ya wajanja,kuna bar inaitwa valentine. humo ni fulu mzuka mwanzo mwisho.!!hahahaha!! mkuu maji ya ilala balaa!!! ama kweli wape maskini kilevi wasahau shida zao! Karibu kamanda!
Tunduma boda la wajanja! huko yalikuwa yanafanyika matamasha ya hip hop kabla hata baadhi ya miji mikubwa kuanza kushuhudia!! Hilo boda lina kila starehe nasikia bana!haha.!! mkuu na wewe karibu Tunduma boda ya wajanja,kuna bar inaitwa valentine. humo ni fulu mzuka mwanzo mwisho.!!
Hapo huwa kuna mubendi live leo vipi bakurutu kama kawa?kwa yeyote aliyepo hapa Johanes burg Hotel karibu na wanyama sinza mori, ukiwa unaingia upande wa kulia utamuona papaaa kitalekwa nikiwa na mama yoyooo mrembo kabisa, karibu upate lager
Hapo huwa kuna mubendi live leo vipi bakurutu kama kawa?
Yani hata usipate kazi kunielekeza.Hapo napafahamu tangu kunajengwa.Sasa wateja wa The Sitting Room na Rainer Park wamehamia pale.Nimehama hapo Boko Basihaya mwaka jana baada ya kuishi tangu 2005.Hvyo nafahamu Bar zote kuanzia Tegeta mpaka Bunju B.BTW MTAZAMO, kesho nitatimba hapo tokea FairWay hapo Nyaishozi.Madame B karibu sana kiwanja hiki kipya kinachoaminika kama Bar kali sana hapa mujini kwasasa. Kabla hujaanza Bunju ulizia Boko magengeni ndipo tunapojificha siku hizi!
Anzia HISAJE bana Fairway hakuna kitu tena toka Dj Seydou aondoke pale kaondoka na member wote including mimi!!!Yani hata usipate kazi kunielekeza.Hapo napafahamu tangu kunajengwa.Sasa wateja wa The Sitting Room na Rainer Park wamehamia pale.Nimehama hapo Boko Basihaya mwaka jana baada ya kuishi tangu 2005.Hvyo nafahamu Bar zote kuanzia Tegeta mpaka Bunju B.BTW MTAZAMO, kesho nitatimba hapo tokea FairWay hapo Nyaishozi.
Usinambia wamemnyang'anya Mchaga wa watu Seydou.Seydou tulianza nae tangu Madrid Bar, tukaenda nae Fairway na sasa yuko hapo.Kudadadeki lazima kesho nije.Nitakuja na memberz kama 4 wa JF, Nije kuwaringishia kiota chetu kipya.Anzia HISAJE bana Fairway hakuna kitu tena toka Dj Seydou aondoke pale kaondoka na member wote including mimi!!!
kesho jumamoc we vip??au upo uchinani??Kesho ijumaa kuu...
Kwa wale watu wa maji ya dhahabu tukutane pale HISAJE kuanzia jioni tule burudani na DJ Seydou.Ukimuona mujamaa anayecheza kila muziki ujue ndio mimi!!! Kuna bia ya bure kwa kila mwana JF pro Chadema :rockon🙁uzuri nawajua wote!)
Najua kuna wanaJF wa pande zile Boko Magengeni ktk kiwanja hiki kipyaaaa!