Tukutane hapa tuliomaliza Old Moshi

Tukutane hapa tuliomaliza Old Moshi

Joined
Apr 3, 2014
Posts
19
Reaction score
9
Habari za wakati huu wakuu, mimi nimemaliza old boys mwaka huu, naomba kujua wanajamvi wenzangu waliomo huku ndani
 
Shukuru ni wewe ulimaliza Form six 2005??
 
Haya tumekuja, mie pia nilipita hapo old scul miaka ya nyuma kidogo 2000 form six
 
Back
Top Bottom