Tukutane hapa Android application developers

mbona aifanyi kazi harafu tatizo lenu amjui au amna elimu ya kutafuta soko kwa iyo mnatumia akili kubwa kufanya vitu lakini faida ndogo

Unachosema ni kweli kbs bro,programmers wengi huwa tuna shida sana ya kulink knowldege na kinachohitajika sokoni.Ndo mana wakati mwingine huwa kuna mtu katikati ambaye anajua kdg programming,na anakuwa anajua ana soko linavyoenda.Combination ya hao watu wawil ndio huleta vitu vya kueleweka...yani kama msanii na manager hvi...
 
sijaelewa faida yake mkuu may be kichwa changu pentium 4

nimeinstall ila sielewi

Sehem ya juu kabsa unaandika namba ya unaetaka kumtumia encrypted sms, box ya chin inaandika ujumbe wako then unaandika passphrase atakayotumia unaemtumia hyo txt ku decrypt then unabonyeza encrypt button, utaona cipher text chini yake then unabonyesa send. Hakika unaemtumia ana hyo app kwenye simu yake la sivyo hataelewa ulichomtumia
 
But nimejaribu kuweka namba ya mtu na kujaribu kutuma hiyo sms inaniambia niweke tena namba.
 
mimi kuanzia jana ndio nimeanza kujaribu kuitimiza ndoto yangu ya kuwa mtengenezaji mzuri wa app bt sijajua mtandao wa kujifunzia cozi hii help plz
 
Nimetengeneza Crypted SMS ila sijaweka play store nitawapa link ya ku download apk file, nikitulia..

sidhan kama umetengeneza hiyo crypted sms,thats y hujaiweka google playstore, source code ya hiyo app ipo github , developer weng wanatumia code hiyo wanachofanya ni kubadilisha jina tu. Mfano secure sms n.
 
kwa nini hudhani kama jamaa ametengeneza mwenyewe? uwepo wa source code github ni kigezo cha kuamini kwamba jamaa hawezi kutengeneza mwenyewe?
 
Ntakushauri upige tizi ya kutengeneza UI, hasa flat UIs, Software ina info nzuri ila User interface haijatulia kabisa

kama unajua c++, tumia
qt creator kutengeneza ui , then tumia JNI kucall java code ili kupata access na android system platform..
Ni lais sana kutengeneza ui kwa kutumia qt ,.. Utachora ui yoyote unayotaka ,.. Bila kutengemea hizo template zilizoandaliwa na google
 
kwa nini hudhani kama jamaa ametengeneza mwenyewe? uwepo wa source code github ni kigezo cha kuamini kwamba jamaa hawezi kutengeneza mwenyewe?

huyo kachakachua code ya github .... jamaa hajatengeneza mwenyewe from scrach..
 
Naona kuna wanaopinga uhalisia wa code ya jamaa lakini, kwa maoni yangu nadhani source code zipo ili kukurahisishia mchakato mzima. Unaweza ukawa una idea ila usijue pa kuanzia. Anyway mimi nimetengeneza DjChoka Music App, Kurasa na nyingine zinazofanana na hizo (zilizopo kwenye account yangu ya Teknoplikasi kwenye Google Play)
 
kama unajua c++, tumia
qt creator kutengeneza ui , then tumia JNI kucall java code ili kupata access na android system platform..
Ni lais sana kutengeneza ui kwa kutumia qt ,.. Utachora ui yoyote unayotaka ,.. Bila kutengemea hizo template zilizoandaliwa na google

Bad idea... Definitely a bad idea
Usimwambie mtu atengeneze android app kwa kutumia anything other than Java, hata NDK ya C++ ipo lakini people dont use it unless wanataka very resource intensive application kama zinazofanya massive video processing e.g VR software, other than that everything should be done in Java.

Na huwezi linganisha qt na android's style kwenye kutengeneza UI, hakuna system rahisi kama android when it comes to making UI lqbda iOS, XML inachukua sekunde 30 kujifunza, apart from that kutengeneza your own views zinazoextend any view waliyokupa takes maybe 1hour kwa mtu ambaye hana idea na how drawing works. Yaani android UI naona ni rahisi kuliko hata html/css.
 
Back
Top Bottom