Tukutane hapa Android application developers

Tukutane hapa Android application developers

Naona kuna wanaopinga uhalisia wa code ya jamaa lakini, kwa maoni yangu nadhani source code zipo ili kukurahisishia mchakato mzima. Unaweza ukawa una idea ila usijue pa kuanzia. Anyway mimi nimetengeneza DjChoka Music App, Kurasa na nyingine zinazofanana na hizo (zilizopo kwenye account yangu ya Teknoplikasi kwenye Google Play)
I saw your app,they are good i like even the interface they too user friendly especially that of choka
 
I saw your app,they are good i like even the interface they too user friendly especially that of choka
Thanks! Ndio nimeanza kuzi-update after a long time. Nimeamua kuzipa material design look.
 
Bad idea... Definitely a bad idea
Usimwambie mtu atengeneze android app kwa kutumia anything other than Java, hata NDK ya C++ ipo lakini people dont use it unless wanataka very resource intensive application kama zinazofanya massive video processing e.g VR software, other than that everything should be done in Java.

Na huwezi linganisha qt na android's style kwenye kutengeneza UI, hakuna system rahisi kama android when it comes to making UI lqbda iOS, XML inachukua sekunde 30 kujifunza, apart from that kutengeneza your own views zinazoextend any view waliyokupa takes maybe 1hour kwa mtu ambaye hana idea na how drawing works. Yaani android UI naona ni rahisi kuliko hata html/css.
Yan hapo umeongea bonge la point.Mi pia simwelewi kbs mtu anayeanza kufikiria kutengeneza kitu kunahusiana na android hlf anadhamiria kbs kukwepa java.Hata support ya kimawazo ukienda site kama stack overflow wengi wanadiscuss java.Mi nadhan ni uvivu wa kuwa flexible,my opinion ukitaka kufanya application flan,tafuta language inayoperform vzr zaid area hiyo na sio kulazimisha language flan sbb unaijua.Ukishabadil mbil tatu utashangaa zinaanza kuwa na tofaut ndogo sana.
 
Naona kuna wanaopinga uhalisia wa code ya jamaa lakini, kwa maoni yangu nadhani source code zipo ili kukurahisishia mchakato mzima. Unaweza ukawa una idea ila usijue pa kuanzia. Anyway mimi nimetengeneza DjChoka Music App, Kurasa na nyingine zinazofanana na hizo (zilizopo kwenye account yangu ya Teknoplikasi kwenye Google Play)
Mkuu kama developer umemonetize vp? kumuuzia dj choka? au ads za kwenye app?

App kama ya dj choka unacharge kiasi gani?
 
Mkuu kama developer umemonetize vp? kumuuzia dj choka? au ads za kwenye app?

App kama ya dj choka unacharge kiasi gani?

Ads za kwenye app mkuu ndio natumia ku-monitize. Option ya kununua app nzima anayo na alikuwa nayo toka 0 users, sasa ni 100K plus users bei si chini ya 1M. Ikiwa 0 users bei ni laki 5. Kama unafanya au umefanya hii business utanielewa kuwa hizo ni bei ndogo sana ukilinganisha na ads za Google zinavyoweza kumuingizia mtu especially kuanzia 10K users.
 
Yan hapo umeongea bonge la point.Mi pia simwelewi kbs mtu anayeanza kufikiria kutengeneza kitu kunahusiana na android hlf anadhamiria kbs kukwepa java.Hata support ya kimawazo ukienda site kama stack overflow wengi wanadiscuss java.Mi nadhan ni uvivu wa kuwa flexible,my opinion ukitaka kufanya application flan,tafuta language inayoperform vzr zaid area hiyo na sio kulazimisha language flan sbb unaijua.Ukishabadil mbil tatu utashangaa zinaanza kuwa na tofaut ndogo sana.

huko sawa mkuu, ni choice ya mtu 2 mm binafs napenda sana kujifunza teknologia ya Qt,. Kwa sababu ni cross platform.. Code zangu za qt(qt desktop app) zote nikicompile 4 android zinakubali. java pia inatumika katika kudevelop android app ktk qt.. Mfano kama unataka ku broadcast intents, inabidi utumie android jni module ku call java code ili kupost runnable kwenye android main thread..
 
Bad idea... Definitely a bad idea
Usimwambie mtu atengeneze android app kwa kutumia anything other than Java, hata NDK ya C++ ipo lakini people dont use it unless wanataka very resource intensive application kama zinazofanya massive video processing e.g VR software, other than that everything should be done in Java.

Na huwezi linganisha qt na android's style kwenye kutengeneza UI, hakuna system rahisi kama android when it comes to making UI lqbda iOS, XML inachukua sekunde 30 kujifunza, apart from that kutengeneza your own views zinazoextend any view waliyokupa takes maybe 1hour kwa mtu ambaye hana idea na how drawing works. Yaani android UI naona ni rahisi kuliko hata html/css.

co bad idea kama unataka kutengeneza app zinazo run fast na znazotumia cpu resource kidogo.. Facebook wangetumia qt kutengeneza app yao, app icnge2mia cpu na battery power sana.
 
co bad idea kama unataka kutengeneza app zinazo run fast na znazotumia cpu resource kidogo.. Facebook wangetumia qt kutengeneza app yao, app icnge2mia cpu na battery power sana.

Si kweli, nimeanza kudoubt kama unatengeneza android apps au labda you are just a beginner.
Facebook app inatumia cpu na battery kwa sababu ya services nyingi zinazorun kwenye background, wana services zaidi ya 20, badala ya kutumia GCM wameamua kwenda na custom pushing service ambayo inatumia MQTT protocol, mqtt doesnt matter unatumia language gani it will still use the same battery n cpu na its even more efficient kuliko Google's own implementation, wanafanya na long polling sometimes kwenye feed yao kupokea new feeds, na yenyewe inatumia battery pia doesnt matter unatumia language gani.

Na the first time you open the app wanafanya caching ya kama posts 100 kwenye memory na hata kwenye sd. Ni vitu wanafanya kuhakikisha their app inarun vizuri. Huwezi tegemea mobilr app ya 50MB iwe inafetch tu data from server na kudisplay kwenye bila functions nyingine, kagua app yao vizuri utaona ina vitu vingi mno.

Usikae na myth kua C++ is better than everything out there, ndio its fast lakini usikae ukafikiri kua it performs better in every case, zipo apps made in Java lakini ziko faster kuliko C++. Use C++ only when its compulsory lakini sio kwenye situation kama hii. Its a stupid idea kuacha flexibility ya java na kutumia c++, strings tu ni moja ya good reasons kuachana na c++ na app kama ya fb wana string operations nyingi mno, kwenye c++ its a huge pain hata kwa experts.
Na unajua qt is not free, ni closed source, bado ukiitumia kwa anything commercial you have to keep paying them monthly, na bado haina official support kutoka google, kila feature mpya google wanayoongeza hawatoi support yake in c++, hata authentication, asking for users permissions kwenye android >5.0 yote hayo ukiwa unatumia c++ utalia kuyafanya. Stick with your c++ ila jifunze kuchagua the right tool for the job. Soma Java hata mwezi jaribu na android development in java alafu utakuja kufuta kauli zaKo hapo juu.
 
Back
Top Bottom