Tukusanyike kuonyesha uwingi wetu: Sheikh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukusanyike kuonyesha uwingi wetu: Sheikh

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana wa Mungu, Oct 3, 2009.

 1. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani, nilikuwa namsikiliza shehe mmoja hivi wa mkoa wa Dar alipokuwa anawahamasisha waislam wakusanyike mnazimmoja, aliwaambia kuwa, inabidi wakusanyike ili waonyeshe uwingi wao. akiwa na maana, waislam ni wengi kuliko wakristo. plili, kwenye waraka wa waislam, wamesema kuwa, Tanzania ni nchi yenye waislam wengi kuliko wakristo. Jambo hili limekuwa likiongelewa toka mda mrefu sana, kiasi cha kumdanganya hata Lipuba kujibandika kwenye dini na CUF yake ili waislam walio wengi wamchague yeye, akiamini kuwa, kwasababu waislam ni wengi, akikifanya chama cha ngunguli kama cha kidini fulani, atapata kura za wengi, hasa kwa sasa ambapo baadhi ya mashehe wamesema wazi kuwa kwenye maeneo yao ccm haitapita.

  Swali langu ni hili, hivi kuna umuhimu wa kujadili ni kina nani wengi na kina nani wachache? ikitokea wakristo wanaambiwa ndo wachache badala yake wakaonekana kama ndo wengi itakuwa vipi? debe tupu linakosa kulia?

  kama kuna mtu mwenye Encarter encychlopedia hapo afungue, ile ya 2009, atakuta wakristo tz ni 45% waislam ni 30%, Kwamfano nimechukua kipande kidogo hiki toka encarter, ukifika hapo utaenda "next" ili uone vitu vyote.

  http://encarta.msn.com/encyclopedia_761562305/Tanzania.html

  IIIPopulation


  Print this section
  The population of Tanzania consists mostly of members of more than 120 black African groups, the majority of which speak a Bantu language. The largest ethnic groups are the Sukuma and the Nyamwezi. Other groups of significant size include the Haya, Ngonde, Chagga, Gogo, Ha, Hehe, Nyakyusa, Nyika, Ngoni, Yao, and Masai. The population also includes people of Indian, Pakistani, and Goan origin, and small Arab and European communities. People living in rural areas make up 62 percent of the population. About 45 percent of Tanzanians are Christians; Roman Catholicism is the largest denomination. Islam is the religion of about one-third of the people on the mainland and is dominant on Zanzibar. Less than one-fifth of the population follows traditional religions. Swahili and English are the official languages of Tanzania, but many people continue to use the language of their ethnic group.

  ukienda kwenye CIA fact book, utakuta waislam 40% wakristo 30%, ukienda sehemu zingine utakuta wanasema half the population ni wakristo na waislam ni kama one third http://www.frommers.com/destinations/tanzania/3862020893.html, hapa napo wanaongea hivyohivyo.

  kuna web nyingi sana zinazoonyesha hivyo. KWANINI NAONGEA HIVI? ni kwasababu nimeona kuna baadhi ya mashehe wasio waaminifu wanaochafua waislam wengine, wanakuja wakitaka kutuchukua watz akili wakisema kuwa, waislam wanao uwezo wa kufanya chochote kile katika nchi hii kwasababu wao ndo wengi na ndio wanaoamua nani achaguliwe na nani asichaguliwe katika nchi hii. kwenye radio wamejadili hadi wamechoka eg.radio kheri. wakisema kuwa, wanao uwezo wa kuwaambia waislam wamchague mtu mmoja tu, na kusema kuwa wanao uwezo wa kubadili uchaguzi watakavyo. huu ni usemi wa waislam wachache wasioelewa. SASA JE, hivi kweli wana uhakika kuwa wao ndo wengi, na kwamba wanatuchota kwenye akili hivyo watz tunaopenda umoja? mimi naomba tuiondoe hii MYTH, ili wote tujue hakuna haja ya kuhesabiana kidini, au kuchagua mtu kidini kama walivyotishia.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Ah, watu wengine bwana...hayo kwa hayo tuuu.
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hahaha, what does "one third mean", kwetu sisi tuliokimbia hesabu. ni 1/3, 2/3 iliyobaki ni ngapi?, moja ya tatu ni kitu kidogo sana. kusema kweli, mimi pia hiyo kitu huwa nasikia, ya kuwa tz wakristo ndo wachache, lakini huwa sitilii maanani, kwasababu wawe wengi au wachache bado hii ni nchi yangu niliyozoea kuishi. sina kwa kwenda. ila huwa naudhika sana kusikia kuwa sisi wakristo ndo wachache, and so what?

  uvumilivu wa kidini unataka kuondoka tena? hivi mlishaenda kama huko mikoani kwenye watu wengi, mfano, mwanza, mbeya, iringa na mikoani kote ukiondoa pwani, hakika kuna sehemu hawana hata msikiti mmoja. kuna sehemu ukisema wewe mwislam wanakukimbia kabisa, kwasabab watu hao hawapo. pwani tu ndo kuna waislam wengi, nao wameshamezwa na wabara kabisaa, ukienda kimara wamejaa wachaga, mbezi luis ndo usiseme, population ya Dar imejaa wakristo kuliko waislam. makanisa makubwa makubwa kila kona, nashindwa hata la kusema. ndo maana walipotishia kuwa, wao ndo wengi watabadilisha matokeo, wakristo hawana la kusema, wananyamaza tu kwasababu utoto kama huo ni ndoto.

  pia, idadi kubwa ya kuhesabu waislam tanzania ni Zanzibar ambao karibia one milion ni waislam. na muungano huu ukivunjia ndo waislam wataonekana wachache sana. muushikilie huu. kuoa wake wengi, kunasababusha ukimwi, wengi wanakufa kama mchwa. nenda buguruni, Temeke, magomeni na kinondoni kaone. wanawake wa kiislam kuwaiba ni rahisi sana, na wanaibika, kwasababu hawaridhishwi na mwanamme mmoja aliyewaoa. ukimwi unakula unamaliza wandugu. badala ya kuambukiza mmoja, anaambukiza wanne, pamoja na wake zake wa mitara.

  sidhani kama inabidi tuweke mada hii hapa tz. kwaheri, nafurahia hii mada.
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  naona watu kimyaaa
   
 5. K

  Kyatsvapi JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 314
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Waislam wengi kuliko wakristo au wakristo wengi kuliko waislam, then what?
  Sioni hoja hapa...
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Ndio. watu hawataki kupoteza muda wao kwa mada zisizokuwa na akili kama hizi!
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Teh, teh, teh! Mwana wa mungu
   
 8. Amosam

  Amosam Senior Member

  #8
  Oct 4, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We haswa ni wa Biblia Mwanzo 6(1) ambayo imetokana na Isaya 23(17).
  Ukilijua hilo basi hutojiandika tena kuwa wewe ni ....Ahaaaaaaaaa
   
 9. D

  Darwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kila siku nasema kwamba watu wadini hawana akili wanabisha.

  Waislam wakiwa wengi ndio nini?
  Wakristo wakiwa wengi ndio nini?

  Mbona kuna nchi ambazo hazina hata % ya waislam? na kuna nchi pia ambazo hakuna hata % ya wakiristo.

  Tell me about quran = moshi wa sigara hujui unakoishia.

  About the Bible, Oh dear,this is a mish-mash of various statements and it is impossible to develop a systematic theology from it that is self-consistent. It is impossible to take into consideration every statement made by the Bible god and by Jesus and by the Apostles and by the "narrator" (if you will), and to make a system that has integrity. You must ignore or reinterpret at least some parts of the Bible if you want to be consistent.

  Like one guy said,

   
  Last edited: Oct 4, 2009
 10. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  all that i was trying to explain here, ni kuondoa myth katika vichwa vya baadhi ya watu wenzetu wa dini fulani, kuhubiri kuwa, wao ndio wengi. nilikuwa nataka kukanseli hiyo idea kwasababu inawapoteza na hakuna kitu kama hicho hapa tz. hii ilikuwa muhimu kwangu, kwasababu, kwamfano tunapoelekea uchaguzi hivi, watu wengi wa dini nimewasikia kwa masikio yangu wakihubiri kuwa, kwasababu wao ndio wengi, wanastahili kuchukua viti vingi bungeni, wanastahili kuchukua viti vingi kwenye executive, na wanao uwezo wa kuamua matokeo..I mean, wanaweza wakahubiri kwenye mahekalu yao ya dini kumchagua mtu mmoja au chama kimoja tu na ikawa hivyo, na kwasababu wao ndio wengi, matokeo ya uchaguzi tz yanawategemea wao walio wengi.

  tatizo hapa sioni, kwasababu labda nimegusa baadhi yao walio wa upande huo usioelewa, au pengine, wengi wa wanaopinga hapa, ni baadhi ya watz walio wengi, wanaoishi maisha kichwakichwa tu, hawana mwelekeo, hawapendi kukubaliana na kinachoendelea hadi waone tatizo limetokea, hawapendi kuzuia ugonjwa bali kutibu ugonjwa, hawana mwelekeo, wanaishi tu na kuamini vitu kwa uelewa mdogo.

  nilichokuwa naongea hapa, hakika sio kwamba mimi kwasababu ni mkristo, ninawaponda waislam kuwa wao sio wengi au vipi, ila napenda kuondoa hiyo myth, ili kila mtu ajue kuwa tz ni ya kwetu sote, na sisi sote ndio wa kuamua matokea kama tunataka maendeleo. tukifikia misikitini na makanisani kuamua nani achaguliwe, ndo mwisho wa ustaarabu tz. nadhani mnanielewa. I hope many wamefumbuka macho hapa.
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mdharau mwiba
   
 12. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Behewa la udini hilo hatari. DINI YA MTU INATUSAIDIA NINI? UNGEKUJA NA HOJA YA KWAMBA TUFANYEJE ILI TUPUNGUZE MICHANGO ISIYO NA UMUHIMU YA HARUSI INGEKUWA BOMBA ZAIDI CHIEF.
   
 13. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2009
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Baadaye sisi washia ni wengi zaidi, sisi walutheri ni wngi kuliko wakakobe, duh itakuwa kali pale utakaposikia sisi mashekhe ni wengi kuliko waumini au sisi mapadre au wachungaji ni wengi zaidi. What a nonsense.
   
Loading...