Tukumbushane

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu kuna miziki natafuta video au auio zake lakini tatizo sikumbuki majina ya bendi.

  • Kuna kundi moja na west africa lilipiga muziki huku waadada wakikata mauno kwenye maji. Anyekumbuko ule muziki uliitwaje au lile kundi lilitwaje anifahamishe tafadhali.
 
sio huo P . nimecheki hiyo yeye yee hakuna kukata viuno kwenye maji.

sasa utakuwa ni upi.....ngoja nitafute nyimbo zote zenye mauno ndani ya maji......lakini....viuno ndani ya maji vinanoga kweli...?

 
na ukizitaka zote hizo nitafute.
Niko pwani ya Baidoa, nasubiri meli ya mafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom