THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
Shule ya msingi CHIKONGOLA........ nimesahau
Shule ya secondary ST BENEDICT NAMUPA SEMINARY ........'' Ora et Labora'' (sala na kazi)
Aim High....
Sketi/vimini za dark blue kama polisi.
Was the best unpopular high school leading in general studies high performance kipindi hichooooo...
Viva mama Celestine ( the headmistress),mke wa aliekuwa naibu waziri wa elimu Bujiku Sakila.
Bado inafanya vema hiyo university ya kijiji?
Never forget bweni la Mama Maria Nyerere...
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo cha mafunzo kile, tuliwahi kugoma serikali itihamishe au ituambie kile ni kituo cha mtihani au shule? Shule haina mwalimu wala ratiba ya darasa hakuna, umeme, maji ni anasa, Mzee Malecela alikuja ongea nasi kwa hekima Sana ndio wakawa wanatupoza kwa wali daily, plus Uhuru wa kufanya lolote lile hakuna kufuatiliwa, Mkuu wa shule akawa anasema huwa anapewa wanafunzi wenye division one pekee kuja hapo tofauti na hapo ni disaster, Sisi darasa zima tulipata division one na two mmoja Tu alikuwa anatokea Arusha alipata three simply hakuwa akipenda tabu kabisa na tulipomaliza tu akatimkia ulaya huko.
Maisha ya high school ndio maisha pekee ya shule yaliyonijenga kujitegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante!Shule yetu sumve mlezi mwema, kitaaluma na kimaadili. Kauli yetu Wana sumve lenga mbali. Kauli hii ni mkomboz wa uchumi wa tz. Vijana wameumodify na kufanya ksmas bongo fleva. Ingia YouTube tafuta sumve high lenga mbsli.
RIP mwalimu Makwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Mlama Jirani
Iyunga Tech hii.Levavi Oculus
ExactlyOyaaaaaa Iyunga boi mwenzangu