JF MEMBERZ! Miaka ya 1980's iliripotiwa habari na kusambaa nchi nzima kuwa kuna mtu(mwanamume) maeneo ya Buguruni DSM aligeuka CHATU(NYOKA) baada ya kuoga maji yaliyochanganywa na dawa alizopewa mkewe na mganga wa kienyeji eti ili zimfanye mumewe azidi kumpenda mama huyo. Habari hiyo ilivuta hisia za watu wengi hapa nchini na ilitangazwa na RTR, gazeti la UHURU na MFANYAKAZI.
Anaekumbuka vema tukio hilo naomba atupe utamu wa tukio hilo