Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

Nilikuwa naishi jirani na bar ya kwa sonda na dr kisengi cjui kisenge.

Wewe utakuwa na undungu na kijana alikuwa anaitwa Ibrahim Mgumia (Ibra), amefariki hivi karibuni. Alikuwa mwanajeshi, lakini baadae sijui ikawaje akarudi Mboka kwao.

Dr. Kisenge, kuweka record sawa hapo juu. Huyu Daktari alikuwa na Watoto karibu wote wa Kiume ambao walisumbua sana pale Uhazili. Mmoja wa mtoto wake ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo (Cardiovascular) hapo JK - Muhimbili.
 
Kwa Sonda kwa nyuma ndo home
 
Mkuu wamemsahau Asha Kulwa
 
Nilisoma shule ya msingi na mtoto wa mwl.Kanyaboya,Damas.Jamaa alikuwa na akili halafu mchoraji mzuri toka darasa la kwanza.Sijui yuko wapi yule jamaa!
 
R.I .P Ibra mshkaji kaondoka mapema sana, poleni sana wana mboka manyema.
 
Enzi hizo Railway ilikua imeshika hatamu.. Treni kila siku.... Kwa wapenda soka mkoa ulikua juu enzi hizo.. Derby ya mji pale ilikua ni Reli na Tindo....
Enzi hizo walimu wa primary walikua wakali hasa... Namkumbuka The late mwalimu kivuruga pale townschool, R. I. P mwl simwanza
 
Ni kweli mkuu marehemu ibrahim(bula) ni kaka yangu

Jana ndio nimerejea kutoka huko msibani.
 
Mkuu kipi kimekujuza km mie ni mdugu wa marehemu Ibrahim mgumia!?

Maana sijatoa details zote za msingi, zaidi ya kusema eneo nililokuwa naishi ambalo walikuwa wanaishi watu mamia kwa mamia.

Ning'ate sikio kidogo
 
Mkuu kipi kimekujuza km mie ni mdugu wa marehemu Ibrahim mgumia!?

Maana sijatoa details zote za msingi, zaidi ya kusema eneo nililokuwa naishi ambalo walikuwa wanaishi watu mamia kwa mamia.

Ning'ate sikio kidogo

Umejitambulisha mwenyewe Mzee. Rudia kusoma Posts zako zote za humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…