Tukumbushane tuliowapokea mashujaa wa vita vya Kagera

Vita hiyo ilikua haina maslahi yoyote kwa taifa ilikua ni vita iliyo chochewa na chuki za kidini za mtu mmoja akishirikiana na mabeberu
 
Ukoo wangu wote walikuwa vitani asee.

Babu-alikuwa commanding officer kwenye moja ya unit iliyokuwa front.

Baba mkubwa-Alikuwa kwenye kikosi cha kusupply msosi kwa wapiganaji.

Baba mkubwa mwingine-Alikuwa rubani.

Baba mzazi-yeye alienda awamu ya pili kulinda doria baada ya Uganda kuwa tayari imetekwa.

Baba mdogo-alikuwa kikosi cha mizinga.

Baba mdogo wa pili-alikuwa front kukabiliana na adui.

Ninachoshukuru Mungu hawa watu wote bado wako hai mpaka dakika hii.
 
Hujatuambia uliolewa na miongoni mwa wale mashujaa? au ulizingua
Dunia ya zamani neno mchumba, mchumba lilikuwa la kawaida la utani. Nilikuwa darasa la 4 na tulichokuwa tukifanya ni kuwapongeza na Serikali ndio ilipanga hivyo hakukuwa na harusi. MASHUJAA walikuwa wanarudi nyumbani baada ya kutembeza kichapo.
 
Ukoo wangu wote walikuwa vitani asee.

Babu-alikuwa commanding officer kwenye moja ya unit iliyokuwa front.

Baba mkubwa-Alikuwa kwenye kikosi cha kusupply msosi kwa wapiganaji.

Baba mkubwa mwingine-Alikuwa rubani.

Baba mzazi-yeye alienda awamu ya pili kulinda doria baada ya uganda kuwa tayari imetekwa.

Baba mdogo-alikuwa kikosi cha mizinga.

Baba mdogo wa pili-alikuwa front kukabiliana na adui.

Ninachoshukuru Mungu hawa watu wote bado wako hai mpaka dakika hii.
Da wewe utakuwa na historia nzuri na huu mtanange. Mie mjomba wangu alipigana aliporudi zikafyatuka Ila walichomsaidia alistaafishwa . Pension akilipwa ndani ya saa 1 Hana hata Mia. Hakuwahi kupata mtoto anaishi kama ndege.
 
Moja Kati ya vita za hovyo kabisa kupiganwa dunia. Kulikuwa hamna haja ya kuingiza majeshi yetu ndani ya Uganda. Tulitakiwa kuwafurusha wanajeshi wa Uganda waondoke ndani ya nchi yetu na tubaki kulinda mipaka.

Vita nyingine ya hivyo ni Kati ya Ethiopia na Eritrea. Mwandishi nguli Ahamed Rajabu aliwahi kuifananisha hii vita na watu wawili wenye vipara wanaogombea kitana. Maana ardhi wanayogombea haifai kwa chochote.
 
Moja Kati ya vita za hovyo kabisa kupiganwa dunia. Kulikuwa hamna haja ya kuingiza majeshi yetu ndani ya uganda. Tulitakiwa kuwafurusha wanajeshi wa uganda waondoke ndani ya nchi yetu na tubaki kulinda mipaka.

Vita nyingine ya hivyo ni Kati ya Ethiopia na Eritria. Mwandishi nguli Ahamed Rajabu aliwahi kuifananisha hii vita na watu wawili wenye vipara wanaogombea kitana. Maana ardhi wanayogombea haifai kwa chochote.
Acha kuwadharau viongozi na wananchi wazalendo waliopigania hii nchi na kuhihakikishia usalama hata baada ya mgogoro ule lakini pia tulitoa somo kwa viongozi wajinga wa nchi nyingine Tanzania sio ya mchezo mchezo...
 
Ukoo wangu wote walikuwa vitani asee.

Babu-alikuwa commanding officer kwenye moja ya unit iliyokuwa front.

Baba mkubwa-Alikuwa kwenye kikosi cha kusupply msosi kwa wapiganaji.

Baba mkubwa mwingine-Alikuwa rubani.

Baba mzazi-yeye alienda awamu ya pili kulinda doria baada ya uganda kuwa tayari imetekwa.

Baba mdogo-alikuwa kikosi cha mizinga.

Baba mdogo wa pili-alikuwa front kukabiliana na adui.

Ninachoshukuru Mungu hawa watu wote bado wako hai mpaka dakika hii.
Vipi huyu singi ako mdogo aliekuwa kwenye kikosi Cha mizinga, maana mimi ndg yangu alikuwa kikosi Cha mizinga aise, anasema mizinga ikichanganya kuunguruma akili inakuwa sio yako tena na nikikuwa namuona wakati mwngine Kama ana wenge hivi.
 
,hasa makabila ya wasukuma,wanyakyusa,wangoni
1.Hvi unajua Luteni Jenerali Silas Mayunga, yule ambaye sanamu ya kumbukumbu ya vita vya Kagera iliyopo pale Bukoba inaitwa kwa jina lake, alikuwa kabila gani?

2.Historia ya Wangoni kuhusu vita, na ujasiri wao unavijua kweli? Si ajabu hawa jamaa wanalizidi mbali sana kabila lako kwenye maeneo hayo.

Kuna wakati mnaaminishwa mambo ya hovyo sana.
 
Hiyo 78 B mkubwa wangu alikuwa na mwaka mmoja
Haya mambo ya miaka sijui nini, wametuletea mabeberu hayo. Sentensi sahihi ingekuwa "wakati huo B Mkubwa wangu alikuwa bado ananyonya na hata dalili ya kuacha ziwa ilikuwa bado"
 
Dunia ya zamani neno mchumba, mchumba lilikuwa la kawaida la utani. Nilikuwa darasa la 4 na tulichokuwa tukifanya ni kuwapongeza na Serikali ndio ilipanga hivyo hakukuwa na harusi. MASHUJAA walikuwa wanarudi nyumbani baada ya kutembeza kichapo.
Ni kama naona unachoeleza, naamini morale ilikuwa juu Sana,
 
Back
Top Bottom