bangi mkose nyie mnaoleta story za mateja humu, niwe nayo mie wa kusoma? achana na mimi niko busy na shule nije kuwaongoza baadaye.
mwanaume gani anampasha mwenzake? au ushazoea kupashwa nini?
me m'ke babuu weeee!!!mwanaume gani anampasha mwenzake? Au ushazoea kupashwa nini?
me m'ke babuu weeee!!!
Au kwenu kuna angel wanaume?
mpaka hapa jf itakuwa imethibitisha kuwa huyu dogo ni teja kweli na kichwa chaki si kizima.. Na upeo wake ni mdogo saaana, ni kichwa cha panzi . Na ni balehe inamsumbua, huenda ukienda hapo geto kwake kama avator yake inavyoonyesha utamkuta na vipande kibaoo vya sabuni ya geisha au ayu kwe godoro lake.
Wivu tn!? Mh! Maskini roho yako, mchafuzi mkubwa weeengoja niende zangu tuition m,shaanza ya kwenu, wivuwivu tu.
Wivu tn!? Mh! Maskini roho yako, mchafuzi mkubwa weee
Hajataka yaishe huyu, mpk aombe msamaha hapa.basi mama yaishe.
Hajataka yaishe huyu, mpk aombe msamaha hapa.
hii sasa si poa kabisa,nimetegemea nicheke leo ili siku iwe poa, lakin naona majibisano yasiyo na msingi,aaaaaaaaggrrrrrrrr.