Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
achana na mm bana
Teh teh teh, laha tupuuuuuuu........
nyote pumbavu. mia
naona huyo jamaa kama sio teja basi ni shoga kwa nn hataki waandikwe wanaandikwa kina jk itakuwa mateja na hii pia ni njia moja wapo kufikishia jamii na mateja kwa ujumla nini wanakiwaza wanapokuwa high achana na huyo pambafYani bora hata wewe umwambie labda atasikia, hili jukwaa la utani @ wa kusoma! mbona unakuwa mshamba sana ndugu? sijui jike au dume? hata hujasoma jukwaa unakimbilia kuonesha ujinga wako, watu kama wewe wapo wengi sana wanaotaka kuonekana wanajua sana kumbe hawajui! yani wewe hujui kitu ila unalazimisha kujua. Hili jukwaa la utani si la siasa so post yangu ni ya utani. Peleka siasa zako kule kwenye jukwaa la siasa! mara ooh namfahamu nimwanike hapa.......aibu kweli! ngoja nijilalie mie.
we nitadili na wewe mpaka uhame hii jukwaa,unatuharibia jukwaa unga unaovuta unakupeleka pabaya.M.umbaf WW mwenyewe
we nitadili na wewe mpaka uhame hii jukwaa,unatuharibia jukwaa unga unaovuta unakupeleka pabaya.
thread nzima kaiharibu,ataona JF chungu ngoja aendeleeumeona mkuu huyu dogo anaishi getto, anaglia hata hiyo avator yake katundika nguo kibao ukutani kwa kutumia misumari, na hapo getto hakosi bangi huyu, huyu ni kumpiga mande hapa jukwaani mpaka ahame.
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
Huyu aanzishiwe jukwaa la mateja....
Mpasheni huyoo, me nna wsws ana lake jambo. Kaharibu kila kitu.......
Pambaf zake
thread nzima kaiharibu,ataona JF chungu ngoja aendelee
umeona mkuu huyu dogo anaishi getto, anaglia hata hiyo avator yake katundika nguo kibao ukutani kwa kutumia misumari, na hapo getto hakosi bangi huyu, huyu ni kumpiga mande hapa jukwaani mpaka ahame.
heri arudi chekecheahuyu form two (wa kusoma) nani kampa simu...
humu huachwi mpaka posa iletweachana na mimi bwana we vp? kama huna cha kuandiaka si ulale?