Tukumbushane stori za mateja

wazee acheni malumbano tupeni stori za mateja ..au nyie ndio mateja wenyewe ..manake siwaelewi elewi mlumbano hayana miguu ...(jukaa la utani hili lakini)
 
achana na mm bana

sitaachana na ww lazima nimtafute mtu akukamerun mana umechangia sana kuchafua hii tread. Au upo mwanafunzi umerud likizo nn, halafu unajifanya ungekua msomi ungeshndwa kuelewa nn maana ya utani'
 
 
wazee acheni malumbano tupeni stori za mateja ..au nyie ndio mateja wenyewe ..manake siwaelewi elewi mlumbano hayana miguu ...(jukaa la utani hili lakini)

ni huyu dogo wa kusoma wa mmemkwa kachafua jukwaa, si unajua vitoto vya boarding vinavyosoma international schools vitoto vya facebook vimingia hadi jf vinaleta mambo ya secondary humu?
 
Haya endeleeni na jukwaa lenu naenda zangu tuition, nitarudi jioni.
 
Ila we wakusoma jipange, usijifanye umesoma wakati unadegree moja halafu gpa yenyewe ya 1.9 halafu unajifanya na ww msomi. Acha hzo ww
naona story ya mateja inaendelea sie kwetu burudani, mlipaniana sasa mmekutana wote dakika tano mbele
 
We wakusoma vipi Mbona unatake kujifanya nakujua wakati sikufahamu, mi sio mchimba chumvi Kama wewe,huyo dogo unayemuulizia kawaulize wahuni wenzako
 
nyie wote mnao rumbana ni mateja. mnajifanya mumesoma kumbe nyote machoko tu na ni mafisadi wa elimu. kitu gani kimekufanya uruke darasa la nane kama wewe sio choko na fisadi wa elimu?.
wenzako tulimaliza la saba tukaenda la nane. lakini nyinyi machoko mumemaliza la saba mkaenda la tisa halafu nakuja kuchafuana hapa jf. Mukiendeleza nawapiga ban wote. mnajua mimi ni nani? Vione. nadhani nimewapaka vya kutosha kwahelini. nawaachia jukwaa lenu. endeleeni kuchambana. over
 
hapa mnadiskas nin? au kuna teja kachokozwa humu? naona kamwaga mboga wa2 wanashndwa changia. hii kali
 
hapa mnadiskas nin? au kuna teja kachokozwa humu? naona kamwaga mboga wa2 wanashndwa changia. hii kali

mtu badala ajiite wa kufeli anajiita wa kusoma! Kijijini kwako wanakudanganya umesoma kumbe walaaaaa!
 

nawe pia ni choko, kwa nini umechangia hii thread kama sio choko? Kwenda zako huko choko mkubwa wee!
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
. Sasa jamani hapa c tupo kwenye jokes? Kwani kuna ubaya gani! Ww unataka kila wakati watu wawe serious? Raha mtu hujpa mwenywe babuuu........
 
Dah watu badala ya kuchangia mada mnanishambulia mm, leo hata prepo nitashindwa, anyway this iz weekend bana hata nisiposoma.
 
Kwa kuwa mko full hasira wacha niwape nyimbo mbili tatu.
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
sijapenda comment yako kaka. Kwako yaweza kuwa upupu but kwa wengine furaha.We are here to enjoy smile, that why wameweka kipart hiki ili watu wafurahi either baada kupitia part nyingine kwangu mie nisipopitia hapa siku yangu haiwi nzuri kdg coz kuna vi2 namiss.

NIWAZO TU!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…