Tukumbushane stori za mateja

hawa jamaa ni washamba sana wameniharibia siku yangu mapemaaaa mimi hli ndio jukwaa langu la kucheka sasa hawa jameingia jukwaa sio lao. Pelekeni siasa zenu huko mbali hapa jukwaa la utani na huu uzi hapa ndo mahala pake sasa mnataka aandike nn. Aaaagriii
 
kwenda zako wewe, siku yako iliharibika tangu mapema ulipoamka ukamkuta anayekudai mlangoni kwako hata kabla ya kunawa uso ukamwambia mama akamwambie ati haupo, lkn ujue jamaa kakusikia sasa sijui kama leo utaenta kijiweni au vp.
 
Bora ujilalie kweli, sasa hivi maana huna kazi ya kufanya. Mkuu usichukie huu nao ni moja ya utani lazima nikupe changamoto.
mmmh! We dogo utani gani huo? Ok mkubwa potezea, leten udaku! Tupasuke mbavu.
 
kwenda zako wewe, siku yako iliharibika tangu mapema ulipoamka ukamkuta anayekudai mlangoni kwako hata kabla ya kunawa uso ukamwambia mama akamwambie ati haupo, lkn ujue jamaa kakusikia sasa sijui kama leo utaenta kijiweni au vp.

ha ha ha ha nilimwambia mwanangu amwambie mimi sipo eti kaenda kumwambia baba amesema nikwambie hayupo.
 
Imekuwa taaaaabu. JF IMEVAMIWA JAMANI. Shule zimefungwa.
 
Hivi we wa kusoma Kama hulikuwa Huna cha kuchangia bora ungekaa kimya, watu tunataka tuskie stori za Mateja we unaleta siasa uchwara, Kama Huna cha maana si huanzishe thread yako mwenyewe kuliko kudandia za watu au ndio unatafuta umaarufu kijanja.
 
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?

We ndo chizi na unaweza kuwa kubwa la mateja. Mosi, tupo kwenye jukwaa la jokes, so ulitaka aandakaje? Pili, unajuaje labda yeye kazi zake anafanya nyt kali. Tatu, JF haizuii mtu kupost anytime akihitaji.

Nalog OFF
 
umelog off saa ngapi wewe au unaiga?
There are currently 10 users browsing this thread. (6 members and 4 guests)

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…