Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
sio kila kitu lazima uchangie, kwanza hujui hili ni jukwaa gani unabwatuka tu bila mpango. Kwa taarifa yako mateja ni ndugu zetu na hawako bongo tu! Maisha ni mchanganyiko wa kila alichokiumba mungu. Watu kama ninyi wenye dharau ndo inabidi mdhalauriwe. Mnapinga ukameron huku mna mashoga nchini. Mmepiga hatua kiasi gani kuliko hao wanaotambua mashoga? Ni mfano tu. Kwa hio usidandie wazo langu ukajiona mjanja kumbe umesahau hata ndugu zako wengine huwajui. Watz bwana! Badala ajadili hoja anakimbilia kujionesha yeye ndo mjanja zaidi ya mtoa hoja.
Huyu aanzishiwe jukwaa la mateja....
umeona eeh! Eti huyu naye ni great thinker, yaani ashaniharibia siku na uzi wake huu wa kipuuzi. Kwa mara ya kwanza JF imeniboa. Hlf huyu Jakubumba namfahamu kama vp nianike data zake hapa.
Endelea wewe mwenyewe teja mwenzao, yaani unaamka asbh yote hii na mke na mtoto wako au ndg zako wanakuona uko kwenye pc au bb wanajua unafanya kitu cha maana kumbe unaandika upupu kama huu. Sasa mtu kama wewe unastahiki kunywa chai leo?
we vp?umepotea jukwaa wewe!huku co kwako fungua jukwa la siasa
Achana na mimi bana.
Mmmh! We wa tanga au mombasa. Ni pm nikupe dudu.sio kila kitu lazima uchangie, kwanza hujui hili ni jukwaa gani unabwatuka tu bila mpango. Kwa taarifa yako mateja ni ndugu zetu na hawako bongo tu! Maisha ni mchanganyiko wa kila alichokiumba mungu. Watu kama ninyi wenye dharau ndo inabidi mdhalauriwe. Mnapinga ukameron huku mna mashoga nchini. Mmepiga hatua kiasi gani kuliko hao wanaotambua mashoga? Ni mfano tu. Kwa hio usidandie wazo langu ukajiona mjanja kumbe umesahau hata ndugu zako wengine huwajui. Watz bwana! Badala ajadili hoja anakimbilia kujionesha yeye ndo mjanja zaidi ya mtoa hoja.
wa kusoma utakuwa wewe? Shule la kata au chuo cha kata unasoma wewe?
Teh teh..., ni mashambulizi kwa mtoa mada badala ya kuchangia mada!
hv nyie mmepiga mswaki?
Bora yangu mie chuo cha kata nimefika je! wewe uliyeshindwa hata MEMKWA