Kitabu cha kwanza kukisoma kilikuwa ni kikomo,kikafuata Kikosi cha kisasi vyote vukiandikwa na mtunzi mahiri Musiba,nikageuka kuwa mpenzi mkubwa wa riway hizi ,ndani unakutana na willy gamba,mplelezi mashuhuri nambari one africa toka Tanzania katika miji ya shinyanga ,maganzo ,maswa ,mwadui ,jamani nikawa teja wa riwaya hizi nihakisha sipitwi na kitabu kipya ,si hammie rejab,Ben mtobwa ,aha nilikuwa darasa la saba ktk umri mdogo mwalimu anafundisha darasani mi nasoma NJAMA.NAJIONA KAMA NDIO WILLY GAMBA,na ukizingatia kulikuwa hakuna TV WAKATI ULE ! 1984 Wenzangu walikuwa wananizunguka nasoma wanasikiliza
Ilinisaidia kupenda kujisomea kwani sikupata taabu kwenye fasihi andishi wala literature pale form 3 Jmani kuna watunzi kwelikweli
Nikahamia kwenye Novel mills and boon na James hardly chase riwaya za kusisimua
WANTS TO STAY ALIVE?
FORMULAR FOR FEAR
BETTER DEAD THAN POOR
Leo nimekumbuka mengi siku hizi si msomsji tene wa riwaya hizi ,niko busy nasaka noti na malezi ya watoto :smow:
Nilitaka nianze kuichapa njama na nyingine nizilete zote hapa jukwaani. Nimeshindwa kwani nimepewa keyboard mpya ambayo ina key za chuma inaumiza sana! nikipata keyboard nyingine nitazileta zote nilizonazoJamani hizi riwaya za zamani nazitafuta sana pia
Asante,ila nakuomba uheshimu kazi za waandishi wetu...omba ruhusa.Nilitaka nianze kuichapa njama na nyingine nizilete zote hapa jukwaani. Nimeshindwa kwani nimepewa keyboard mpya ambayo ina key za chuma inaumiza sana! nikipata keyboard nyingine nitazileta zote nilizonazo
Sawa Mkuu nimekuelewa vizuri, nakiri makosa kwa hizi mpya lakini nataka kujua kuhusu zile za zamani inakuwaje? kwani wengi wamekufa na hata zile kampuni za uchapaji nyingine hazipo tena!Asante,ila nakuomba uheshimu kazi za waandishi wetu...omba ruhusa.
aisee hivi hiki kitabu cha salamu kutoka kuzimu naweza kukipata wapi?salamu kutoka kuzimu robert r msigwa, master of the game by sydney sheldon
aisee naweza kuvipata wapi vitabu hivi.mimi ni mpenzi sn wa kusoma novels za eng na kisw.
Namkubali sn shafi adam, kuna kitabu chake kinaitwa haini anazungumzia true events, what happened alivouawa karume znz.
This is more than a novel, kinafurahisha na kuhuzunisha sn.
Ni kizuri sijapata kusoma kitabu km haini
mm nna novels nyingi za kisw, tata za asumini, nyota ya rehema, kiu, haini, kuli, vuta nkuvute, kasri ya mwinyi fuad, asali chungu, utengano, kivuli kinaishi, mwiba, mkimbizi n.k.
Lkn napenda sn za zamani.
aisee hivi hiki kitabu cha salamu kutoka kuzimu naweza kukipata wapi?