Obama na waziri wake wa mambo ya nje waliitembelea mitambo hii na kuimwagia sifa kwamba ni sehemu ya uwekezaji wa marekani afrika,katika ziara hiyo aliambatana na Rais Jakaya kikwete,tunajua marekani inavyopinga rushwa na ufisadi katika miradi yake.

Mkuu, tatizo sio mitambo, ni namna hiyo mitambo ilivyowekezwa. Usitarajie kwamba mtoto atazaliwa na kasoro kwa sababu mimba ilikuwa haramu.
ambae hajui mitambo iliwekezwaje ni mwakyembe na wewe,juzijuzi ole sendeka kasema lowasa is clean,people are ashamed now
who is ole sendeka?
lowasa is clean for who?
nyie kuleni hizo na timizeni masharti ya upigaji debe. Wenyewe tunajua who's going to stand for the party, tumeishasema hatusimamishi mtu kwa shinikizo la wapambe wake au kwa kumuogopa, full stop!!
Hii si ndio mitambo ya Richmond iliyobadilishwa Jina???
mitambo haikua na kosa,kosa lilikua la binadamu yule mmiliki wa mitambo.aliitwa nani,al jidawi ama al nani vile?.
kwa kawaida uwekezaji wa wamarekani huwa umetukuka sana.
sasa kosa la lowasa akatuletea mvaa suruali fupi,kwakweli alitukera sana.
ole sendeka aliyepandikizwa na sitta na mwakyembe ili kumchafua lowasa,bungeni alikuwa anaongea mpaka anataka kulia,juzijuzi kaona dhambi itamwandama akaamua kutubu,wewe kwenye chama huna lolote,JK kasema ccm mko milioni sita tu wakati wapiga kura ni milioni23
cha ajabu mwakyembe na timu yake walienda marekani kuchunguza lakini hawajatwambia kama walionana na maafisa wa ikulu ya marekani wakawaeleza kwamba ile mitambo ni mali ya serikali ya marekani,wakaja wanajifanya eti hawajui mmiliki wake,funny creatures
hahaaa!! wale wapiga pedo