chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,955
- 20,526
Obama na waziri wake wa mambo ya nje waliitembelea mitambo hii na kuimwagia sifa kwamba ni sehemu ya uwekezaji wa marekani afrika,katika ziara hiyo aliambatana na Rais Jakaya kikwete,tunajua marekani inavyopinga rushwa na ufisadi katika miradi yake.