Tukumbushane: Obama na Waziri wake waliitembelea mitambo ya Richmond na kuimwagia sifa

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,642
19,870
Obama na waziri wake wa mambo ya nje waliitembelea mitambo hii na kuimwagia sifa kwamba ni sehemu ya uwekezaji wa marekani afrika,katika ziara hiyo aliambatana na Rais Jakaya kikwete,tunajua marekani inavyopinga rushwa na ufisadi katika miradi yake.
 
Kikwete aliwahi kusema haijui dowans sasa sijui akaijua Simbioni?? Marekani ni wachonganishi sana na wasiofaa! Mugabe Jembe sana!
 
Obama na waziri wake wa mambo ya nje waliitembelea mitambo hii na kuimwagia sifa kwamba ni sehemu ya uwekezaji wa marekani afrika,katika ziara hiyo aliambatana na Rais Jakaya kikwete,tunajua marekani inavyopinga rushwa na ufisadi katika miradi yake.

Mkuu, tatizo sio mitambo, ni namna hiyo mitambo ilivyowekezwa. Usitarajie kwamba mtoto atazaliwa na kasoro kwa sababu mimba ilikuwa haramu.
 
tatizo lilikuwa nini? Obama hawezi tembelea mitambo ya kifisadi,it was a clean deal
 
Obama na waziri wake wa mambo ya nje waliitembelea mitambo hii na kuimwagia sifa kwamba ni sehemu ya uwekezaji wa marekani afrika,katika ziara hiyo aliambatana na Rais Jakaya kikwete,tunajua marekani inavyopinga rushwa na ufisadi katika miradi yake.

Tuache siasa Lowasa hahusiki na Richmond
 
cha ajabu mwakyembe na timu yake walienda marekani kuchunguza lakini hawajatwambia kama walionana na maafisa wa ikulu ya marekani wakawaeleza kwamba ile mitambo ni mali ya serikali ya marekani,wakaja wanajifanya eti hawajui mmiliki wake,funny creatures
 
Mkuu, tatizo sio mitambo, ni namna hiyo mitambo ilivyowekezwa. Usitarajie kwamba mtoto atazaliwa na kasoro kwa sababu mimba ilikuwa haramu.

Waambie mkuu, wanadhani watz ni mazuru kiivyo. Nilitaka kusema hiki hiki
 
ambae hajui mitambo iliwekezwaje ni mwakyembe na wewe,juzijuzi ole sendeka kasema lowasa is clean,people are ashamed now
 
who is ole sendeka?

lowasa is clean for who?

nyie kuleni hizo na timizeni masharti ya upigaji debe. Wenyewe tunajua who's going to stand for the party, tumeishasema hatusimamishi mtu kwa shinikizo la wapambe wake au kwa kumuogopa, full stop!!
 
ole sendeka aliyepandikizwa na sitta na mwakyembe ili kumchafua lowasa,bungeni alikuwa anaongea mpaka anataka kulia,juzijuzi kaona dhambi itamwandama akaamua kutubu,wewe kwenye chama huna lolote,JK kasema ccm mko milioni sita tu wakati wapiga kura ni milioni23
 
Hii si ndio mitambo ya Richmond iliyobadilishwa Jina???

mitambo haikua na kosa,kosa lilikua la binadamu yule mmiliki wa mitambo.aliitwa nani,al jidawi ama al nani vile?.
kwa kawaida uwekezaji wa wamarekani huwa umetukuka sana.
sasa kosa la lowasa akatuletea mvaa suruali fupi,kwakweli alitukera sana.
 
hahaaa!! wale wapiga pedo
 
ole sendeka aliyepandikizwa na sitta na mwakyembe ili kumchafua lowasa,bungeni alikuwa anaongea mpaka anataka kulia,juzijuzi kaona dhambi itamwandama akaamua kutubu,wewe kwenye chama huna lolote,JK kasema ccm mko milioni sita tu wakati wapiga kura ni milioni23

Kwahiyo umeambiwa hao milioni 23 wanamhitaji EL
 
cha ajabu mwakyembe na timu yake walienda marekani kuchunguza lakini hawajatwambia kama walionana na maafisa wa ikulu ya marekani wakawaeleza kwamba ile mitambo ni mali ya serikali ya marekani,wakaja wanajifanya eti hawajui mmiliki wake,funny creatures

walisema wameikuta ile kampuni iko ndani ya briscafe.
 
hahaaa!! wale wapiga pedo

mvaa kipedo akawambia,"basi isiwe tabu watanzania,naweza kusamehe deni,halafu hii mashine ntawauzia hata kwa hasara ilimradi yaishe".

ha ha ha,wenye uchungu na nchi wakamwambia,"uumuzie nani mtambo uliooza wewe mvaa kipedo".

ha ha ha.....
 
cha ajabu mwakyembe na timu yake walienda marekani kuchunguza lakini hawajatwambia kama walionana na maafisa wa ikulu ya marekani wakawaeleza kwamba ile mitambo ni mali ya serikali ya marekani,wakaja wanajifanya eti hawajui mmiliki wake,funny creatures

Lowasa amesema hausiki na Richmond, tatizo lilikuwa ni Uwaziri Mkuu na amempiga kijembe Mwakyembe na Spika wenza. Sasa Mwakyembe ambaye ndiye aliyefanyia uchunguzi sakata hilo mpaka huko Marekani, amwage data alizozipata kutokana na uchunguzi alioufanya mpaka akamu-implicate Lowasa, vinginevyo tutajua wazi kwamba jamaa ni Mzushi tu na Mfitini.
 
mwakyembe awaambie watanzania ukweli,kama samweli sitta ni rafiki yake,uwaziri mkuu atauota tu,Taifa linahitaji ukweli kipindi hiki kuliko wakati wowote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom