hahahah...hujakosea sana unaitwa "Abalindwana"
Abalindwana bha Jerusalem,
Abalindwana bha Jerusalem bhikundilila Jesu
maana yake Wanawake au kinamama wa Yerusalem wanamlilia Yesu...ni wakati ule wa mateso ya Yesu wakati akipelekw Goligotha.
King'asi na BAK, hizo nyimbo za kingoni mi ninazo ila sijui jinsi ya kuziweka kwa u-tube kina Platozoom na Bishanga wasikilize wajifunze kutoka kwetu sisi wafalme wao!
hizi zilisha expaya nakumbuka zilikuwa maarufu nilpokuwa daras la pili miaka hiyo!!Akanana akanana kaile kona
kaile akaile nkanula
omwana omwana Madame B, aile alie na.................. Nula....
Omwana omwana Madame B aile,aile......... Na nula
Yaani zingenogaje? Nasoma hapa nyimbo zenu im trying to make a tune. BAK best, unaweza kutumiwa kwa email ya jf ukatuwekea? Tukajiburudani kidogo. Najua you can do your magic.
teh teh, mkuu umenchekeshaje! ngoja wachaga waje hapa. . . Nicas Mtei unaitwa hapa utoe ufwafwanuzi wa kina. . .
niambie nimtumie nani? Natamani Tanzania nzima iwe ya Wangoni, ila Wamakonde NO!!! wabaki na umakonde wao!!
last weekend kulikuwa na sendoff pale Istana, husband akaniambia vipi................. nikamwambia ya wahaya, hapana. sababu yeye ilikuwa ni ya mtu wanayeheshimiana sana akaenda, akamwambia katokea job na mimi nilikuwa busy sana sikuweza hudhuria. kafika kule ananitext naomba uniwekee msosi maana ntatoka soon, nasinzia tu.......... yaani kama walikuwa kikaoni, lol!
mara ya mwisho umeudhuria lini?Kwa ushahidi huu basi na kubali hila ule msemo wa samaki mmoja akioza wote wameoza naomba usiizingatie maana kama mimi tangia nianze kuhudhuria harusi zetu zime kuwa ziki changamka sana hasa kwenye ngoma sema kuna muda maalum wa kucheza ngoma.
NB: si vuti kamba popote!
mara ya mwisho umeudhuria lini?
Wakondya sana mwanawasu!.ndolela ndolela mama ndolela chalungu wawe ndolela chaserereka. ( naomba radhi iwapo nimekosea matamshi)
wapi Yegomasika, M'Jr
umeona wangoni tunavyotisha? chezea kabisa........ ngoja niwashtue ndugu zangu akina snowhite, moto2012, Mzee Tupatupa na kampuni waje wamwage nyingine
kuna moja kali sana, Jamaa anauliza pombe na soda kizuri nin? wenyewe tunajibu mzuri ughimbi !!!daah watu8 ulifikiria nini kuanzisha huu uzi?
Duh, afadhali umenipa tafsiri. Yaani nasuuzika, kasheshe yake style ya kucheza na ule mchuchumio. Nikahisi maana ya wimbo ni 'miguu inauma lakini siachi kucheza'
kwa kweli napenda sana nyimbo za makabila. Kuna mwingine 'naloli naloli weeh naloli, nalolinaloli' lol.
Kuna nyimbo za wagweno, najua hapo nawaacha. Moja hii:
ooh rughu yakwa, nie na ie? (anauliza ndizi yangu nile na nani?)
ooh kindo na nyika, nie na ie?
umewahi hudhuria sherehe zao? yaani utakula na kunywa kila unachotaka, inapofika swala la kuserebuka ni 0Hao si ndio Kaunga kasema wanaserebuka hata kama kuna sakafu ya tiles lakini vumbi inatimka...