Tukumbushane Mashujaa wa Wanyonge hapa Nchini Waliotumiwa Vibaya na Serikali yetu!

Tido Mhando
Mzee Moris
Wazee wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
WALALA HOI WOTE!
 
Yaani watetezi wa haki za wananchi..kisha wakapewa vyeo vilivyokuja kuchakachua misimamo yao.
 
Vipi jamani, Christopher Mtikila anafaa kuwemo humu kwenye hii listi?
 
Wamepatikana wachache mpaka leo. Ni namna ya kujaribu kuwaenzi kwa hapo walipojaribu na kufikia..
 
Natoa mfano, labda wa hivi karibuni..Mwakyembe. Lakini unapopewa u-waziri kuna 'uhuru mbano'.Huwezi kuikosoa serikali point blank. Ama Sitta. Ndiyo ilikuwa angle yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…