Tukumbushane majina ya walimu wetu

Tukumbushane majina ya walimu wetu

busiba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
306
Reaction score
183
Jamani,salaam hapa,nina jambo

Kwa sasa kama wengi mnavyofahamu zoezi la uhakiki limepamba moto. Kama inawezekana bila kuathiri taratibu, tukumbushane majina ya walimu wetu wa shule za msingi na sekondari.

Hapa nina sababu nyingi za kusema hivi, ila chache ni kuwa wengi tunawafahamu walimu wetu kwa jina mojamoja tu au hata wengine walifahamika kwa majina yao ya utani tu. Sasa kama kanuni zinaruhusu tukumbushane.

Ni hayo tu.
 
Tumia akili unapotoa post, wewe itakusaidia nini. Kweli jamiiforum imevamiwa
 
Back
Top Bottom