Tukumbushane Maandiko

Tukumbushane Maandiko

Ukisoma Mwanzo utaona kwamba baada ya Adam na Hawa kufukuzwa bustani ya Edeni, wakajuana na kuwazaa Kaini na Habili. Mmoja alikuwa Mkulima na mwingine alikuwa Mfugaji( Sikumbuki nani alikuwa mkulimana nani alikuwa mfugaji). Mkulima alimuua mgugaji baada ya wote kutoa sadaka kwa Mungu lakini sadaka ya Mfugaji ikakubaliwa. Mungu akampa laana mkulima baada ya kumuaa mwenzake mfugaji. Ukisoma zaidi utaona kwamba baada ya kupewa laana akaenda mji mwingine na kumuoa mwanamke na kuzaa watoto. Swali langu linaanzia hap, Huyo mwanamke anatoka kizazi kipi? Ikubukwe kwamba kizazi kinaanzia kwa Adam na Hawa ambao waliwazaa Kaini na Habili, ambapo mmoja alimuua mwenzake.

cc: Mamdenyi na watu8

Kabla ya Adam na Hawa kulikuwapo na viumbe wengine. Ukisoma kwenye vitabu vingine ambavyo havikuwekwa kwenye Biblia hii tunayoitumia utaona kulikuwapo na viumbe wengine (Wanefiri) ambapo inasemekana walitokana na malaika walioasi kule mbinguni ambao walitupwa hapa duniani. Adamu na Hawa walipoasi nao walikuja kuishi duniani na Mungu aliwaonya kizazi cha Adamu ambao ni Wanadamu wasichangamane na viumbe hao. Kwa maana hiyo kulikuwa na kizazi kingine cha malaika waasi kabla ya A na H.
 
Mkuu naomba nakala ya vitabu hivyo!
 
Mkuu naomba nakala ya vitabu hivyo!

Sina kumbukumbu nzuri sana ila kama sikosei kinaitwa WAKABADAYO/MAKABADAYO. Kitabu hiki ni moja ya vitabu ambayo havikuingizwa kwenye biblia kama vingine na kinahistoria ya Uumbaji na mambo ya mwanzo wa dunia. Unaweza kukipata kwa mafather wa Roman Cathoriki au kwa Wachungaji wale wa zamani kabisa. au hata waalimu wa theorojia. Vuta subira nitakupatia majina ya vitabu vingine.
 
Thanx, nitasubiri....
 
ZILE hadithi za wayahudi zina utata.adam alikuwa nawatoto wawili mmoja akamuua nduguye akatiwa alama mtu amuonaye asimdhuru halafu akakimbilia NOD akaoa huko .kwa hiyo adam na mkewe hawakuwa pekee kulikuwa na wengine.
 
Back
Top Bottom