Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Ahhahahaha kwenye maisha usiishi na rafiki wanaboaaa
Kod ikiisha hawajui
Chakula kikiisha hawajui wanakula magengeni
Nomaaa
KabisaaaHahaaa!kuna marafiki ni mizigo ya miba haibebeki!
Hatari saana hii, nilikuwa nikinunua maji ya Uhai makubwa ya kunywa ya lita 12 wao ndo wanapikia hahahah
Hahahahah
Una bahati hawakuhamia kabisa!hahaaaamimi nilipokua chuo nilikua nawaacha tu marafiki waje gheto ila hakuna kulala....nilikua nawaruhusu kwasababu ndani nilikua nanunua kila kitu halafu naona kabisa peke yangu siwezi kuvitumia muda mwingine mpaka vinaharibika so nilikua nawakaribisha ili tuvimalize zen wanaondoka makwao
duuuh noma, me naonaga tu. ila matamu yanakuwaga ya wanawake.Ghetto kuna visanga!nakumbuka wakati nakaa ghetto basi nilikuwa nimepanga chumba maeneo Fulani karibu kabisa na town basi nikajikuta ghetto masela kama wote na wapita njia ndio usiseme!unajikuta sometimes kwenye kitanda cha futi 4 mnalala hadi MTU sita na mnaenea na panachuka!
Basi washkaji wa tatu ndio wakaamia kabisa na kuwafukuza nikashindwa!bahati nzuri mwenye nyumba alikuwa sio mtata!
Kila mshkaji nikamkabidhi funguo yake ili kuondoa usumbufu wa hapa na pale!
Sasa kimbembe kilikuwa kulipa kodi hata nifulie vipi kila MTU anadai hana pesa Mzee najituma mishe zangu nalipa mwenyewe!
Kumbuka hapo ghetto kila kitu ni changu!
Basi washkaji full kuleta Mademu kila time yaani wanasubiriana foleni!na mashuka no kufuliwa full kulalia NY****G**!
Nilivumilia mwaka mzima nikaona isiwe tabu maana kuhama mitaa ile karibu kabisa na town haiwezekani na washkaji kila nikiwaambia wajipange watafute maghetto hawana habari ni full kuhonga tu Mademu na kwenda viwanja vikali!
Sasa siku nikawaamulia tu nikabadilisha kitasa pia nikaweka na Bonge la kufuli!nikaenda kujipa likizo sehemu Fulani wiki nzima!
Hadi narudi kila MTU alikuja tu kuchukua begi lake nyambavu
mkisha kuwa wengi kuna kutegeana ngoja flani atafanya.Hahaaa!kuna marafiki ni mizigo ya miba haibebeki!
dah nimekatazwa kuhama home kuishi geto eti mtoto wakike..sasa nilisoma ili iwejeGhetto kuna visanga!nakumbuka wakati nakaa ghetto basi nilikuwa nimepanga chumba maeneo Fulani karibu kabisa na town basi nikajikuta ghetto masela kama wote na wapita njia ndio usiseme!unajikuta sometimes kwenye kitanda cha futi 4 mnalala hadi MTU sita na mnaenea na panachuka!
Basi washkaji wa tatu ndio wakaamia kabisa na kuwafukuza nikashindwa!bahati nzuri mwenye nyumba alikuwa sio mtata!
Kila mshkaji nikamkabidhi funguo yake ili kuondoa usumbufu wa hapa na pale!
Sasa kimbembe kilikuwa kulipa kodi hata nifulie vipi kila MTU anadai hana pesa Mzee najituma mishe zangu nalipa mwenyewe!
Kumbuka hapo ghetto kila kitu ni changu!
Basi washkaji full kuleta Mademu kila time yaani wanasubiriana foleni!na mashuka no kufuliwa full kulalia NY****G**!
Nilivumilia mwaka mzima nikaona isiwe tabu maana kuhama mitaa ile karibu kabisa na town haiwezekani na washkaji kila nikiwaambia wajipange watafute maghetto hawana habari ni full kuhonga tu Mademu na kwenda viwanja vikali!
Sasa siku nikawaamulia tu nikabadilisha kitasa pia nikaweka na Bonge la kufuli!nikaenda kujipa likizo sehemu Fulani wiki nzima!
Hadi narudi kila MTU alikuja tu kuchukua begi lake nyambavu
Usikute ulipanga keko halafu unajikuta mjanja
mkisha kuwa wengi kuna kutegeana ngoja flani atafanya.
HUYO ALIYEKUKATAZA ASITUHARIBIA MINGO MABAHARIA,dah nimekatazwa kuhama home kuishi geto eti mtoto wakike..sasa nilisoma ili iweje