1. Kashfa ya maghala.
Manji/Quality Group borrows from NSSF Shs 9.0 billion to build: Ubungo Godowns.
Manji/Quality Group sells Ubungo Godowns to National Social Security Fund (NSSF) for Shs 47.5 billion within 2 months of negotiations.
Manji/Quality Group sells Quality Plaza to Public Service Pensions Fund (PSPF) for shs 36.0 billion.
TOTAL SALE PROCEEDS - Shs 83.5 billion
THE UNANSWERED QUESTIONS
What facilitated the approval of the loan of shillings 9.0 billion to NSSF within such a short period of time?
Has the loan of Shs 9.0 billion from NSSF been repaid by Quality Group?
How was it possible to conclude negotiations and the purchase of the godowns by NSSF within such a short period of two months and two weeks?
Was capital gains tax paid on the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza?
The first valuation of the Ubungo godowns is said to have been done by the University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS). Who engaged UCLAS, and is there a contract for this engagement?
Has ownership of the buildings been transferred to NSSF and PSPF?
Quality Group occupies space in the Ubungo Godowns and Quality Plaza. What percentage of the built up area is it occupying in each building respectively?
What is the rent payable by Quality Group for occupation in the Ubungo Godowns and Quality Plaza respectively and is the rent paid to-date?
How much rent has been received by NSSF and PSPF since the acquisition of the properties?
What is the cost of running and maintaining the Ubungo Godowns and Quality Plaza, including management/consultancy fees?
Are the Ubungo Godowns and Quality Plaza insured? If in the affirmative, who is the insurer and at what value respectively?
Where are the proceeds of shillings 83.5 billion from the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza? Are they in the country of have they been repatriated?
2. Manji vs Kagoda
Ni swali zuri sana na hao ndio vidudu mtu.
Ndicha mhesh.Rais anachotaka tumuunge mkono nacho...Hiki ni kipindi cha dhahabu chenye political will ya kuunda the so called mfumo....tukitoboa kwa kushikamana kipindi hiki tutabaki na mafisadi wachache sana hasa wale wenye vinasaba na sio kila mtanzania kujidai ni fisadi.Nashukuru kuona hapo bwana JINGALAO ulivyovaa uzalendo...Manji alishirikiana na watu kwenye mfumo ndio maana aliweza kuiba, hao watu wakamatwe haraka na hizo loose chances zizibwe kwa maana ya kutengeneza mfumo imara kwenye controlling..
Ukiwakamata hao watu utaonekana umewakamata kwasababu ya visasi na siasa maana wengine wamehamia CHADEMANashukuru kuona hapo bwana JINGALAO ulivyovaa uzalendo...Manji alishirikiana na watu kwenye mfumo ndio maana aliweza kuiba, hao watu wakamatwe haraka na hizo loose chances zizibwe kwa maana ya kutengeneza mfumo imara kwenye controlling..
kipindi hiki naona hakikuwa chuki kamandaNadhani tumeanza kuwa taifa la Chuki kabisa hatutaishia kwa huyo watakuwa wengi Maana roho mbaya hutafuta ubaya!
He is the one to answer Sir.Very strange deals,but Mr Manji was not able to conduct dubious deals without the state apparatus assistance or effort!
Where are those fat loose dude?
Hawa jamaa wanaomba Internet isingekuwepo maana ingekua ngumu kufukua makaburi yao mkuu.kipindi hiki naona hakikuwa chuki kamanda
Kikwete kama kweli ushindi wako haukuwaletea faraja mafisadi, mkamate Manji
Ukizaa mtoto mwizi halafu baadae ukaamua umpeleke polisi itakua halali kwa polisi kukuuliza kwanini ulizaa mtoto mwizi? Jaribu kuwa makini unavyo comment si kupinga kila kitu. Kwani Magufuli hajasema kama serikali iliawafuga wezi? Si juzi tu ulisikia akisema kuwa viongozi walioaminiwa waliwasaliti wananchi kwa kuuza mali na kupewa magari? Ama kwa akili yako ulidhani alikua anawasema wapinzani? Hajasema anakisema anachokijua sababu kakaa na kafanya kazi serikalini kwa miaka 20? Ulitaka afanyeje? Kwakua madhambi yamefanywa na CCM aache kwasababu watu kama wewe wafuasi wa chadema watahoji uhalali wa yeye kufanya haya wakati ni mwana CCM? Ulitakiwa kuwauliza viongozi wako wa CDM kwanini waliwapokea viongozi waandamizi wa serikali ya CCM wakati wakijua fika kuwa ni wezi pia na kuwapatia nafasi kugombea urais wa nchi. Amka unga mkono yanayotakiwa kuungwa mkono na kemea yanayotakiwa kukemewa. Ulichotakiwa kusema ni kumuunga mkono lakini kumtahadharisha Magufuli kua tunahitaji Katiba mpya si kuuuliza alikua wapi.Wakati mwingine me nashangaa sana hizi hadithi zetu kwa kweli,
Manji ni Diwani kupitia CCM, nani aliidhinisha mhalifu kuwa diwani??
Manji hakuwahi kuwa kiongozi ndani ya serikali, aliwezaje kufanya Biashara za kitapeli na taasisi za serikali, tunapodeal na Manji tukumbuke pia kudeal na ndugu zetu waliompa manji access ya kupenetrate kwenye mifumo yetu na kupiga hizo deal.
Waliohusika kutakafisha hizo fedha as Manji wako wapi? Yanga football club inahusika kutakatisha Fedha za Manji, TFF kipindi hicho ilihusika kutakatisha fedha za MANJI...
Walioshirikiana na Manji kupiga dili na Manji pale NSSF na KAGODA wako wapi???
Vipi Rostam Azizi tunamuachaje naye kama Kweli tumedhamiria, waliomsaidia Ruge kutakatisha hela tunawaachaje - kuanzia wachungaji na viongozi wa serikali?? Kama tumedhamiria lazima tujue kwanza wezi wanaweza kuiba kwa sababu ya mfumo wa hovyo tulionao kuanzia CCM mpaka kwenye serikali..
Ukizaa mtoto mwizi halafu baadae ukaamua umpeleke polisi itakua halali kwa polisi kukuuliza kwanini ulizaa mtoto mwizi? Jaribu kuwa makini unavyo comment si kupinga kila kitu. Kwani Magufuli hajasema kama serikali iliawafuga wezi? Si juzi tu ulisikia akisema kuwa viongozi walioaminiwa waliwasaliti wananchi kwa kuuza mali na kupewa magari? Ama kwa akili yako ulidhani alikua anawasema wapinzani? Hajasema anakisema anachokijua sababu kakaa na kafanya kazi serikalini kwa miaka 20? Ulitaka afanyeje? Kwakua madhambi yamefanywa na CCM aache kwasababu watu kama wewe wafuasi wa chadema watahoji uhalali wa yeye kufanya haya wakati ni mwana CCM? Ulitakiwa kuwauliza viongozi wako wa CDM kwanini waliwapokea viongozi waandamizi wa serikali ya CCM wakati wakijua fika kuwa ni wezi pia na kuwapatia nafasi kugombea urais wa nchi. Amka unga mkono yanayotakiwa kuungwa mkono na kemea yanayotakiwa kukemewa. Ulichotakiwa kusema ni kumuunga mkono lakini kumtahadharisha Magufuli kua tunahitaji Katiba mpya si kuuuliza alikua wapi.
Ukiwakamata hao watu utaonekana umewakamata kwasababu ya visasi na siasa maana wengine wamehamia CHADEMA
Ndicha mhesh.Rais anachotaka tumuunge mkono nacho...Hiki ni kipindi cha dhahabu chenye political will ya kuunda the so called mfumo....tukitoboa kwa kushikamana kipindi hiki tutabaki na mafisadi wachache sana hasa wale wenye vinasaba na sio kila mtanzania kujidai ni fisadi.
Acha akinukishe...
Siasa za ufuasi zimekupofusha. [HASHTAG]#YouKnowNothing[/HASHTAG]Hiyo haijalishi cha muhimu ni ushahidi na uwe kweli na dhamira ya kudeal na tatizo..
Halafu ili Chadema wasipige kelele, ni vizuri ukakamata wengi wasio na idadi walioko CCM kama akina chenge, ngeleja, Dr dau, mama tibaijuka nk halafu ukiwarudia wachache walioko chadema inakuwa rahisi kuwaambia mbona kule wote wako jela tayari...
Ulivyonijibu mimi umejibu vizuri zaidi kuliko unavyo comment katika mada. Ninachokisema ni kwamba si kila kukicha unamkumbusha Magufuli kuwa CCM ndiyo waliotufikisha hapo tulipo, Ndiyo kila mtanzania anajua hilo kwanini uendelee kuyasema yale ambayo wote tunayajua baada ya kuzungumza nini kinafanyika kwasasa.Inawezekana kabisa hujaelewa nilichoandika, nimekwenda na mifano mingi sana hapo ili kuonyesha namna mfumo ulivyo wa hovyo, unafanyeje kuset mfumo jibu unalo ni katiba..
Kudeal na walioshirikiana na Manji ni lazima pia maana nao ni mfumo pia, kuanzia NSSF to BOT, hao nao pia ni wahujumu uchumi..unapotaka kuziba hizo loose gap lazima uset mfumo utakaoishi miaka mingi ukienda sambamba na kuadhibu wakosaji na waliotupoteza njia..
Kupinga baadhi ya yanayoendelea hakunifanyi mimi kuwa mfuasi wa CDM na kuwa CCM kusikufanye pia uwe kipofu.. Kuunga mkono au kupongeza sio kazi yangu maana hayo yanayofanyika ni sehemu ya kazi ya watawala na Rais, sasa unamsifiaje mtu kwa kutimiza majukumu yake?? naunga mkono kwa vitendo maana huwa nafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi kubwa, sitoi wala kupokea rushwa.
Siasa za ufuasi zimekupofusha. [HASHTAG]#YouKnowNothing[/HASHTAG]