Tukumbushane jamani sio ugomvi

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
TUKUMBUSHANE jamani siyo ugomvi!
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's
Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28
Mdogo kabisa hapo ni mwenye miaka 28!
Bado hujaoa au kuolewa, kibaya zaidi unaishi kwa
Wazazi wako, asubuhi ukiamka chai ya shikamoo,
mnagombania vitumbua na wadogo zako na hata
hujui maisha yana ugumu gani...Lol!
Jamani Wazee wenzagu tubadilike tuchukue hatua.
Next time nitataja na Orodha kabisa ya majina km
walivyo Watuhumiwa wengine...
KUTOKUOA/KUOLEWA NI JANGA ZAIDI YA DAWA
ZA KULEVYA!!!
 
you are deadbody mkuu hayo umeyajuaje? nilifikir walio hai ndo huwa wanajua hayo.

kikikikikkkkkk jst jocking
 
Ni kweli bado naishi kwa wazazi lakini kula najitegemea kwani nikitoka morning kwenda machimbo (ndio ofisini)narudi usiku... Nilimaliza six four yrs ago sijapata mkopo na sitegemei tena ... Daily income buku 10 .... Only three meals I can afford... Niongezee maarifa what should I do?
 
Back
Top Bottom