kumbe natokea kwenye luvango pale?japo sasa majina yametwist kidogo sio luvango tena ni luhwago?.wakati mdogo mama yangu aliniita mwayena,na baada ya kukua alinambia maana yake.wazazi wangu wote wahehe tena ni vijiji vya karibu.pomerini anatokea mama na bomalang'ombe anatokea baba.huwa nikirudi home town bomalang'ombe najisikia vizuri ajabu, ofcourse sababu napenda asili yangu.....basi najiunga vilabuni na wazee tunapata komoni na ulanzi huku tukichoma vitofu saaafi kabisa.nina mpango wa kurudi tena home town bomalang'ombe few months to come nimemiss komoni........