Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
umemsahau Jesca Brown
Hahaha...
umemsahau Jesca Brown
namkumbuka yule tausi wa kabla ya tamthilia na kale kawimbo kanako ibwa tauc ndege wang ndege wangu wathamani....wakikaa watu wawil....
Eeeh.. jmn mtaani sisi ndio tulikuwa na tv isiyo na mashart kusema nani aingie kuona na nani aachee Kipindi hichoo HITACHI 20" tukawa bonge ya matajiri na twaishi mbavu za mbwaa ila imechapiwa na sementi imewekwa sakafu wenyewe tunadeki kama walionyumba za block ikifka saa 1 usiku j2 watu wazima wanaanza kuja waone matuki ya wiki,habari,na kuna kakipnd tena nakasahaa kanafwata alafu ndio TAUSI ianzee asikwambie mtu palikuwa panashonaa hapo ndanii mpk uwezi kusogeza mguuu mlangoni hillo rundo la ndala & viatu kama msikitinii... ile saa lindi aliyokuwa anatumwa kwenda kuangalia? Kingine Sitti&Dama&mzee Kassiri ni marehem hao kitamboo...
Kipande kidogo: Damaaa, damaaa uujuwee nakupendaa...
Mi nilikuwa nampenda Kibibi mbayaa nisipomuona kwenye siiin siku hiyoo hamu hainitokii.
Hii thread imenikumbusha way back when blackberry and apple were still fruits.wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa.
Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba
Watoto wa mzee kasri Sitti, Rukia na Rehema
Mke wa Mzee Kasri bi Zuri.
Lindi ambaye anaigiza kama mtoto wa mitaani 'chokoraa' na wenzake Vita na Joto
Rhoda ambaye anaigiza kama shangazi yake Lindi.
Dama na Mjuba Watoto wa Bw. Sango na Bi. Muhonja.