ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Ila Dama alikuwa anamtongozea kakaye kwa SITTI.
Umemsahau SUMBI.Maana yeye na BOCHA full vituko.Enzi za kina Bocha, Waridi, Sunche na Aisha.
Ukiondoa Waridi hawa wengine wako wapi siku hizi?
Yaani wakati huo niliku nachelewa kwenda FoE pale UDSM usiku kwa sababu zifuatazoUmenikumbusha namna ilivyokuwa ikianzan na kale ka wimbo kake "Tausi ndege wangu, ndege wangu wa fahari.....", na wale jamaa kama kina "kalumanzira...chyaaaaa(anapiga chafya kali xana), wale chokoraaa, siti binti kasri.....ahahahaha umenikumbusha mbali mkuu.
Jikumbushe kidogo hapa.....
me nilikuwa nampenda sana Rukia bint kasri
Umenikumbusha mbali mkuu! Yan mi nilikuw nampenda sitti tu na mpenzie! Na lindi chokaraa dam! Yan 2nakula mapeeema cku hiyo il 2sichelewe! Afu enzi zile tv kwe2 ilikuw imebomoka baas 2likuwa 2nakusanyana kitaa haooo mtaa wa saba kwa watu mara cku nyngne 2fukuzwe mara 2angalie aisee nikikumbka huwa nacheka saaaana!
Enzi za kina Bocha, Waridi, Sunche na Aisha.
Ukiondoa Waridi hawa wengine wako wapi siku hizi?