Tukumbuke tamthilia ya tausi

Tukumbuke tamthilia ya tausi

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
2,649
Reaction score
1,128
wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa.

Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba
Watoto wa mzee kasri
Sitti, Rukia na Rehema

Mke wa Mzee Kasri bi Zuri.
Lindi ambaye anaigiza kama mtoto wa mitaani 'chokoraa' na wenzake Vita na Joto
Rhoda ambaye anaigiza kama shangazi yake Lindi.
Dama na Mjuba Watoto wa Bw. Sango na Bi. Muhonja.

Umenikumbusha namna ilivyokuwa ikianzan na kale ka wimbo kake "Tausi ndege wangu, ndege wangu wa fahari.....", na wale jamaa kama kina "kalumanzira...chyaaaaa(anapiga chafya kali xana), wale chokoraaa, siti binti kasri.....ahahahaha umenikumbusha mbali mkuu.
 
wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa.

Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba
Watoto wa mzee kasri
Sitti, Rukia na Rehema

Mke wa Mzee Kasri bi Zuri.
Lindi ambaye anaigiza kama mtoto wa mitaani 'chokoraa' na wenzake Vita na Joto
Rhoda ambaye anaigiza kama shangazi yake Lindi.
Dama na Mjuba Watoto wa Bw. Sango na Bi. Muhonja.

so long
 
Namkumbuka sana Cynthia Kithome(Dama) alivyokuwa ameumbika vizuri na shape yake kali. Keshaolewa

siku nyiiingi! Jamaa anafaidi kwelikweli.
 
Umenikumbusha mbali mkuu! Yan mi nilikuw nampenda sitti tu na mpenzie! Na lindi chokaraa dam! Yan 2nakula mapeeema cku hiyo il 2sichelewe! Afu enzi zile tv kwe2 ilikuw imebomoka baas 2likuwa 2nakusanyana kitaa haooo mtaa wa saba kwa watu mara cku nyngne 2fukuzwe mara 2angalie aisee nikikumbka huwa nacheka saaaana!
 
Daaaah! Umenikumbusha mbali sana mkuu.
 
~R.I.P Sitti na Mzee Kasri
~Nawakumbuka Mjuba,Dama na miwani yake
~Mponda alikuwa ananifurahisha sana na actin yake ya ulevi
::Tanzania tukatohoa maneno kama Luninga,chang'aa,mjuba{maana yake mtu mademu lover boy},chokoraa,sangoma etc
~samanini kizazi cha mulugo enzi hzo 99' mnamiaka mi3.
 
wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa.

Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba
Watoto wa mzee kasri
Sitti, Rukia na Rehema

Mke wa Mzee Kasri bi Zuri.
Lindi ambaye anaigiza kama mtoto wa mitaani 'chokoraa' na wenzake Vita na Joto
Rhoda ambaye anaigiza kama shangazi yake Lindi.
Dama na Mjuba Watoto wa Bw. Sango na Bi. Muhonja.

Umenikumbusha mwaka 1999

Huku bongo kulikuwa na Mambo hayo nyakati hizo!
 
wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa.

Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba
Watoto wa mzee kasri
Sitti, Rukia na Rehema

Mke wa Mzee Kasri bi Zuri.
Lindi ambaye anaigiza kama mtoto wa mitaani 'chokoraa' na wenzake Vita na Joto
Rhoda ambaye anaigiza kama shangazi yake Lindi.
Dama na Mjuba Watoto wa Bw. Sango na Bi. Muhonja.

Jikumbushe kidogo hapa.....

Last edited by a moderator:
Enzi za kina Bocha, Waridi, Sunche na Aisha.

Ukiondoa Waridi hawa wengine wako wapi siku hizi?

Hivi kweli Waridi yuko wapi? Kuna kipindi miaka hiyo nimimtia machoni nikiwa ndani ya gari magomeni. Alikuwa amechoka kiasi Fulani hivi.
 
wadau kwa wale walio angalia tamthilia ya tausi unakumbuka hawa.

Kibibi, Ashina, Ondieki, Bw. Sango, Zinzi, Dk. Kurya. Bi. Popo, Master Sugu, Eboso, Sikitu, Mponda,Mjuba
Watoto wa mzee kasri
Sitti, Rukia na Rehema

Mke wa Mzee Kasri bi Zuri.
Lindi ambaye anaigiza kama mtoto wa mitaani 'chokoraa' na wenzake Vita na Joto
Rhoda ambaye anaigiza kama shangazi yake Lindi.
Dama na Mjuba Watoto wa Bw. Sango na Bi. Muhonja.

umemsahau Jesca Brown
 
Namkumbuka Sitti (R.I.P) alipochanganyikiwa akawa anapita mitaani akisema Mjuba waangu...Mjuuuba...
 
Hii si ilikuwa Egoli ya Engineering. Joke ya chuo hiyo, enzi hizo. Rukia nilionana nae mwezi Wa 12 nakumati junction.
 
Kama umewasahau wakina JESCA BROWN, MLANDA, AUNT RODA na ZIZI, CHEBET, PASTOR, REHEMA, VITA na ONDIECK basi utakua umewakosea sana, maana walikua wanafunika sana. Kwa ukweli hawa jamaa walisaidia sana kuinua sanaa ya maigizo hapa Bongo na hata ubunifu wao, kufuata script, mixing, effecting, kuwaza na kuingiza music ktk kutambulisha scene watanzania tuliiga sana na tukakomaa hadi leo tumewaacha mbali. Lindi alikua chokoraa damu lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom