Tuko wangapiii! Tulizana mwenzangu!

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
Jaman matangazo ambayo yana viwango vya kuitwa tangazo ni haya mawili ya tacaids lile la hotelin yan usiseme hili la benz ndo pasua kichwakabisa mmh! yan wanachitiana mpaka gar inabomoka!!
Good creativity!
 
Ni kweli ni kifungua macho. Ukiuwaza mtandao wa ngono, inasaidia hata walau kwenye matumizi ya condom kwenye umaaluni wako!
 
Ni kweli matangazo hayo mi yananivutia kutokana na ujumbe pia,sababu inaeleza ukweli uliopo katika mahusiano,natamani tungekua tunasikia na kufanyia kazi manake mapenzi ya siku hizi ni balaa tupu!
 
Yanakufurahisha tu....? Vipi ujumbe hupati?


Nakubaliana na yeye tangazo ni zuri sana, lakini hili ndilo swali la msingi la kujiuliza, ujumbe kaupata? Ameshajiuliza wapo wangapi? Au tunaangalia na kuvutiwa na matangazo na kusahau kila kitu baada ya hapo?
Katavi nimelipenda swali lako!
 
Last edited by a moderator:
All these advatisement was designed West Africa at 2006, but current we use us.
How far back we are?
 
Wengi wetu tumekuwa na desturi ya kuangali au kusikia matangazo kama hayo na kufurahi tuu..ila tunakuwa wazito sana kuyafanyia kazi.
Yatupasa tubadilike,watu wanatumia mbinu nyigi kuhakikisha kuwa ujumbe unafika na unaeleweka vyema kwa hadhira,hivyo tuutendee kazi.
 
tatizo sisi tunafurahia matangazo likiisha basi hatujifunzi kwenye matangazo na mm naona haya matangazo yanatuasa tuache network kwwnye mapenzi kwani hushusha production,magonjwa,familia kutengana,watoto kujaa mitaani,kumkosea Mungu
 
Mi yananiboa kinoma coz yanafanya mtandao kama kitu cha kawaida!!!! Si ishu ya kushangaza tena! Like its a fashion!!!!
 
mapenzi ni bain aya watu wawili......wewe utatulizana mwenzako anakufanyia featuring huko nje!!!!!!!tena kavu......maisha tunayoish ni ya kubahatisha..ukiona hujaupata ushukuru tu kuwa haujakutana na mwenye nao.....na kondom haijaamua kukupasukia!
 
mapenzi ni bain aya watu wawili......wewe utatulizana mwenzako anakufanyia featuring huko nje!!!!!!!tena kavu......maisha tunayoish ni ya kubahatisha..ukiona hujaupata ushukuru tu kuwa haujakutana na mwenye nao.....na kondom haijaamua kukupasukia!

mmmhhhh!!!!kweli usemalo ni kazi sana we unajitahidi kutulizana mwenzio ndo kwanza anahangaika!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom