AUGUSTINO CHIWINGA
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 222
- 695
Na;
Augustino Chiwinga
Mtama-Lindi
0659438889.
Napenda niungane na wale wanaodhani huenda labda Rais Magufuli akawa ameshatawala miaka 7 mpaka sasa kutokana na kasi yake ya kuleta maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Hali ya nchi iko vizuri, huu ni mwaka wa 3 sijasikia Mkoa au Wilaya iliyopata baa la njaa.Wananchi wameiitikia kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu kwa vitendo kwa kufanya kazi kwa juhudi na Kupata milo yao kila siku.
Rais Magufuli kupitia ilani ya utekelezaji ya CCM (2015-2020) ameziboresha sekta zote zinazogusa maisha ya kila ya Mtanzania kuanzia wakulima, wafugaji mpaka wafanyabiashara wadogo wadogo ambao hivi sasa wanaendelea kupatiwa vitambulisho nchi nzima.
Tumeshawazoea wapinzani wao ni kupinga kila kitu hata pale mambo mazuri yanapofanyika katika maeneo yao wao watapinga tu, utadhania wana ugonjwa wa kupinga pinga.
Siasa ni vitendo na maendeleo na sio maneno matupu na porojo, na ndio maana Rais Magufuli anapofanya mambo makubwa utawasikia wanasema ni hizo ni kodi zetu lakini hata siku moja hutowasikia wakiwahamasisha wananchi walipe kodi.
Wasalaam,
Augustino Chiwinga
Mtama- Lindi
0659438889