msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Hivi sio serikali ya CCM iliyowafukuza wamasai kwao eti ili royal family ya Dubai ipate sehemu ya kuwindia wanyama? Mpaka international media ikaingilia kati.... Nakwambia mwaka huu CCMout!Wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya.
Sasa twende kwenye mada. Ndugu yetu Lowassa ni mbunge kwa miaka 25 katika jimbo la Monduli. Na amekuwa akinadiwa kama mchapa kazi na mwenye maamuzi magumu.
Lakini ustawi wa maendeleo katika jimbo la Monduli ni tofauti na kile tunachoambiwa.
Lakini tafiti za UNDP, zinabainisha illiteracy rate au wanaojua kusoma ni wachache mno, ajira ni tatizo kubwa sana monduli... Vijana wengi wamekimbilia Arusha, Namanga, Nairobi, DSM na Zanzibar kama walinzi, wasusi, na wauza shanga.
Hii ni aibu kubwa iliyofunikwa na fedha isionekane, michango kwenye taflija mbali mbali nayo imekuwa kama kisafishio cha aibu hii. Jaribu kufananisha kazi anayo fanya Deo Firikunjombe Ludewa ndani ya muda mchache na kazi ya Lowassa monduli ndani ya miaka 25.
Kinachoonekana kwa jicho la pili ni maandalizi ya muda mrefu ya kutaka urais kwa gharama zozote ikiwa ni pamoja na kuupumbaza umma kwa techniques mbali mbali.
Namaliza kwa kusema, zile milioni Mia 200 anazotoa Lowassa kwenye taflija mbali mbali, zingeweza kutengeneza ajira za wamasai wanao suka dada zetu pale mwenge, Ubungo etc.
Tajiri siku zote hushughulika na matajiri wenzake.
Kiswahili kibovu rais wako mwenyewe unayemtaka ana kiswahili kibovu balaa,bora huyu ni zile za l na R
View attachment 281703View attachment 281704View attachment 281623
View attachment 281705
Shamsa Ford,Aunty Ezekiel,Jacq Wolper,Joyce Kiria na Halima Mdee
View attachment 281768
View attachment 281708
View attachment 281717
View attachment 281740View attachment 281741View attachment 281742View attachment 281743
View attachment 281766View attachment 281767
View attachment 281776
ok mkuu, simkosoi mtu aliyechapia kwenye keyboard...Na wewe: sio kumwajiabisha bali kumwajibisha.
View attachment 281703View attachment 281704View attachment 281623
View attachment 281705
Shamsa Ford,Aunty Ezekiel,Jacq Wolper,Joyce Kiria na Halima Mdee
View attachment 281768
View attachment 281708
View attachment 281717
View attachment 281740View attachment 281741View attachment 281742View attachment 281743
View attachment 281766View attachment 281767
View attachment 281776
View attachment 281703View attachment 281704View attachment 281623
View attachment 281705
Shamsa Ford,Aunty Ezekiel,Jacq Wolper,Joyce Kiria na Halima Mdee
View attachment 281768
View attachment 281708
View attachment 281717
View attachment 281740View attachment 281741View attachment 281742View attachment 281743
View attachment 281766View attachment 281767
View attachment 281776
Lowasa ni RAIS wa vyombo vya habari.
Rais wa nchi ni MAGUFURI.

Lowassa ni rais?Lowasa ni RAIS wa vyombo vya habari.
Rais wa nchi ni MAGUFURI.