Tuko nyuma ya Ibrahim Traore

Tuko nyuma ya Ibrahim Traore

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,556
Reaction score
40,759
Amerika ilimuua MUAMMAR GADDAFI na kuiharibu LIBYA ambayo sasa haijulikani tena namna ya kupona. Sasa, wanataka kumfuata nahodha wetu, IBRAHIM TRAORE JULIUS MALEMA

Kama jambo lolote likimtokea IBRAHIM TRAORE basi ni kwa sababu sisi vijana wa Afrika tumemwangusha* kwa kushindwa kuchukua hatua ipasavyo wakati ilihitajika.

Tunahitaji kusimama naye bila masharti na bila kuchoka kwa sababu akitokea kushindwa inaweza kuchukua takribani miaka mingine hamsini kumpata tena mzalendo mwenye maono kama yake kuongoza harakati za ukombozi wa Afrika!
 
Kama Ibrah Traore anajiamini aitishe uchaguzi huru nchini kwake aache kupiga dana dana uchaguzi.
 
Kabla ya kuja hao wazungu, MuAfrika alijulia wapi hio mifumo dhalimu, na toka wametuachia haijatupeleka kokote bado tupo kulekule acha tujaribu njia nyingine, kwa sasa apatikane mtu tu akae mpaka kifo ndo aje mwengine, hizi demokrasia za wazungu wanazitumia tu kama upenyo kutuwekea vibaraka wao
 
Adui wa Muafrika ni Muafrika mwenzake.
Adui Mama huwa mnafanana rangi Hadi lugha.
 
Bega kwa bega na captain T.
images (1).jpeg
 
Trump anataka dhahabu, Traore kishaanza kuwindwa wammalize. Naona na France inaunga mkono hilo.
 
Traore amefanya nini cha ajabu mkuu
Tulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.

Hata huko wapo wanaojiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo but nakuhakikishia siku akiwa hayupo wataomba arudi huku ikiwa haiwezekani.
 
Chukua dodoki maneno matupu hayatoshi
 
Tulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.

Hata huko wapo wanaojiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo but nakuhakikishia siku akiwa hayupo wataomba arudi huku ikiwa haiwezekani.
Swali la jamaa ni jepesi sana , waafrikq mnaeza mpena mtu kisa hapatani na mtu fulani bilq kujali kama anatimiza wajibu wake
 
Tulikuwa na Magufuli hapa tukamuona hana maana (well hakuna aliyekamilika wote at some point tunakosea) leo tunaona kinachotukuta.

Hata huko wapo wanaojiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo but nakuhakikishia siku akiwa hayupo wataomba arudi huku ikiwa haiwezekani.
Aiseeee!!!
 
Walimtaka mtu mmoja tu pale libya ambaye ni Gadaffi... Wakaishia kuharibu nchi nzima
 
Back
Top Bottom