The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 837
Ayatollah Afichwe Chini Sana Asitumie Aishi KipwekeGod Bless Ayatollah
saa 5 usiku mda wetu wa kurusha vimondo, bado dk kadhaa tu
Propaganda hii, Israel mbona ndio inazuia taarifa za vifo na majeruhi!! Mfano lile ghorofa lililolipuliwa Haifa, kuna watu 57 hawaonekani, 100 wamejeruhiwa ila wamekufa watatu pekee!!!Hata hivyo, waandishi wa habari wa BBC hawawezi kuripoti kutoka ndani ya Iran kutokana na vikwazo vya serikali ya nchi hiyo
Yule mwehu alikimbilia Ugiriki, ila Ayatollah tuko naye TehranAyatollah Afichwe Chini Sana Asitumie Aishi Kipweke
Kwa Iran hesabu za Israel zimeenda kombo.
Msisahau kuchaji makombora yenu mana yale ya mara ya kwanza yalikuwa hayana nguvu πGod Bless Ayatollah
saa 5 usiku mda wetu wa kurusha vimondo, bado dk kadhaa tu
decoys zile weweMsisahau kuchaji makombora yenu mana yale ya mara ya kwanza yalikuwa hayana nguvu π
Hatari Sana Sana Oops Oohs πYule mwehu alikimbilia Ugiriki, ila Ayatollah tuko naye Tehran
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema "tuko njiani kupata ushindi".
Akitembelea kambi ya anga ya Israel, alirejelea madai ambayo tumesikia kutoka Israel leo - kwamba "inadhibiti anga ya Tehran".
"Tuko njiani kufikia malengo yetu mawili: kuondoa tishio la nyuklia na kukomesha tishio la makombora," alisema.
Netanyahu pia alisema anataka kuleta tofauti kati ya mashambulizi ya Israel na yale ya Iran, akiongeza kuwa haya ndiyo malengo ya Israel na kudai Iran inalenga raia.
"Tunawaambia raia wa Tehran: 'Ondokeni' - na tutachukua hatua," alisema.
Aliwaambia wale wanaofanya kazi kwenye kituo cha kambi za jeshi: "Asanteni, na kwa uwezo wa Mungu β tutachukua hatua na kufanikiwa, na kuendelea hadi tupate ushindi."
Wizara ya afya ya Iran imeripoti kuwa takriban watu 224 wameuawa katika mashambulizi ya Israel tangu Ijumaa.
Hata hivyo, waandishi wa habari wa BBC hawawezi kuripoti kutoka ndani ya Iran kutokana na vikwazo vya serikali ya nchi hiyo.
Kwamba Netanyahu kiboko ya kobazi kakimbia nchi?Yule mwehu alikimbilia Ugiriki, ila Ayatollah tuko naye Tehran
yuko Ugiriki mdaKwamba Netanyahu kiboko ya kobazi kakimbia nchi?