Tukiwekewa vikwazo, tutanunua wapi vipuli vya ndege?

Tanzania tuna ndege za Bomberdier, Boeing na Airbus.

Ndege zetu Ni mpya Sana na Ni nzuri Sana, Tena tulinunua kwa pesa taslim. Kama tujuavyo, usafiri wa ndege Ni wa gharama kubwa, Tena na vipuli vyake ni gharama kubwa, na vinauzwa tu na mzalishaji wa ndege.

Airbus ni Ufaransa, Boeing USA, na Bomberdier Canada. Hawa wote kwa sasa kwa namna moja au nyingine tuko nao vitani, Kama si Vita vya kiroho, Basi ni vya kiuchumi, wanasubiri tu, tuwaguse kisha wanuke.

Hivi ipigwa PIN kwa mfano vipuli vya ndege tutanunua wapi? Bei za black market tutaweza?

What am saying ;
Tusijifanye wagomvi wakati nguvu zenyewe za kukopa, turekebishe tulipokosea nchi ni muhimu na kubwa kuliko mtu mmoja, all this is a fall kwa kwa mtu mmoja kuwa mbabe.

Magufuli jishushe kuokoa wanyonge, kauli za kusema tuna Vita ya uchumi hazina maana kwa sasa. Vita na nchi za Ulaya utaiweza? Umekosea, kubali makosa, rudi nyuma jirekebishe maisha yaendelee
Wanasema eti vitatengenezwa pale Gerezani (Kariakoo)!
 
Hakuna vikwazo wazungu sio wajinga kiasi hicho,,,, Hawawezi kudanganyika na ha watundu wachache... niamini bro.
 
Tanzania ya viwanda ionekane sasa kama wanavyojinasibu kwenye majukwaa ya kisiasa.
 
Tanzania tuna ndege za Bomberdier, Boeing na Airbus.

Ndege zetu Ni mpya Sana na Ni nzuri Sana, Tena tulinunua kwa pesa taslim. Kama tujuavyo, usafiri wa ndege Ni wa gharama kubwa, Tena na vipuli vyake ni gharama kubwa, na vinauzwa tu na mzalishaji wa ndege.

Airbus ni Ufaransa, Boeing USA, na Bomberdier Canada. Hawa wote kwa sasa kwa namna moja au nyingine tuko nao vitani, Kama si Vita vya kiroho, Basi ni vya kiuchumi, wanasubiri tu, tuwaguse kisha wanuke.

Hivi ipigwa PIN kwa mfano vipuli vya ndege tutanunua wapi? Bei za black market tutaweza?

What am saying ;
Tusijifanye wagomvi wakati nguvu zenyewe za kukopa, turekebishe tulipokosea nchi ni muhimu na kubwa kuliko mtu mmoja, all this is a fall kwa kwa mtu mmoja kuwa mbabe.

Magufuli jishushe kuokoa wanyonge, kauli za kusema tuna Vita ya uchumi hazina maana kwa sasa. Vita na nchi za Ulaya utaiweza? Umekosea, kubali makosa, rudi nyuma jirekebishe maisha yaendelee
mtihani sana kwakweli
 
na wale wa bandarini hawataiona meli inayoingia wala inayotoka mamaeeee......bakhressa sijui atanunua wapi ngano
 
Watu wanazidi kujijaza Ujinga

Tanzania bila nchi zilizoendelea hatuwezi chochote.
Engineer wa ndege hizo sidhani kama bongo wapo ata wakiwepo vifaa na spare bongo hakuna.
Leo nasikia TACAIDS wamekiri kuwa ARV's mmesha katiwa msaada, sasa zile mbinu za kujifukiza zitumieni kuondoa ukimwi
 
Back
Top Bottom