Tukiwekewa vikwazo, tutanunua wapi vipuli vya ndege?

Umetumwa na mabeberu wewe, sisi tupo kwenye uchumi wa kati na kama ni spea tutatengeneza wenyewe
 
Tanzania tuna ndege za Bomberdier, Boeing na Airbus.

Ndege zetu Ni mpya Sana na Ni nzuri Sana, Tena tulinunua kwa pesa taslim. Kama tujuavyo, usafiri wa ndege Ni wa gharama kubwa, Tena na vipuli vyake ni gharama kubwa, na vinauzwa tu na mzalishaji wa ndege.

Airbus ni Ufaransa, Boeing USA, na Bomberdier Canada. Hawa wote kwa sasa kwa namna moja au nyingine tuko nao vitani, Kama si Vita vya kiroho, Basi ni vya kiuchumi, wanasubiri tu, tuwaguse kisha wanuke.

Hivi ipigwa PIN kwa mfano vipuli vya ndege tutanunua wapi? Bei za black market tutaweza?

What am saying ;
Tusijifanye wagomvi wakati nguvu zenyewe za kukopa, turekebishe tulipokosea nchi ni muhimu na kubwa kuliko mtu mmoja, all this is a fall kwa kwa mtu mmoja kuwa mbabe.

Magufuli jishushe kuokoa wanyonge, kauli za kusema tuna Vita ya uchumi hazina maana kwa sasa. Vita na nchi za Ulaya utaiweza? Umekosea, kubali makosa, rudi nyuma jirekebishe maisha yaendelee
Hizo ndege zenyewe kampuni ilizozitengeneza imefutwa kwao huko haipo tena serikal yao imesema ndege na vifaa vyao ni feki zimesabaisha hasara kubwa sana na maafa
 
Sasa inakuwaje? Afadhali uingie choo cha kike kuliko choo cha watoto, huko unakutana na poti, sijui utaibeba au utaikalia🤣😲🙄
Hizo ndege zenyewe kampuni ilizozitengeneza imefutwa kwao huko haipo tena serikal yao imesema ndege na vifaa vyao ni feki zimesabaisha hasara kubwa sana na maafa
 
Tanzania tuna ndege za Bomberdier, Boeing na Airbus.

Ndege zetu Ni mpya Sana na Ni nzuri Sana, Tena tulinunua kwa pesa taslim. Kama tujuavyo, usafiri wa ndege Ni wa gharama kubwa, Tena na vipuli vyake ni gharama kubwa, na vinauzwa tu na mzalishaji wa ndege.

Airbus ni Ufaransa, Boeing USA, na Bomberdier Canada. Hawa wote kwa sasa kwa namna moja au nyingine tuko nao vitani, Kama si Vita vya kiroho, Basi ni vya kiuchumi, wanasubiri tu, tuwaguse kisha wanuke.

Hivi ipigwa PIN kwa mfano vipuli vya ndege tutanunua wapi? Bei za black market tutaweza?

What am saying ;
Tusijifanye wagomvi wakati nguvu zenyewe za kukopa, turekebishe tulipokosea nchi ni muhimu na kubwa kuliko mtu mmoja, all this is a fall kwa kwa mtu mmoja kuwa mbabe.

Magufuli jishushe kuokoa wanyonge, kauli za kusema tuna Vita ya uchumi hazina maana kwa sasa. Vita na nchi za Ulaya utaiweza? Umekosea, kubali makosa, rudi nyuma jirekebishe maisha yaendelee

Kiongozi,
Kwa Nchi kuwekewa Vikwazo vya kiuchumi,wanasiasa huongea kwa Lugha ya UPOTOSHAJI kuwa ni kumuadhibu mtawala KITU AMBACHO SIO KWELI; kuwekewa Vikwazo vya Kiuchumi ni KUADHIBU WANANCHI HASA WALE WA KIPATO CHA CHINI.
wao ndio watakosa madawa hospitalini pamoja na huduma za Ambulance kwa wagonjwa na wajawazito, watoto wao kusoma kwenye shule mbovu na wengi kukosa Elimu, kukosa masoko ya kuuza mazao yao, kupita kwenye barabara mbovu ambazo hazifanyiwi ukarabati, nk.
Viongozi watawala na hao wanao hamasicha vikwazo vya kiuchumi viwekwe; wao hawapati taabu yoyote kwani wao wana nyia nyingi za kupata Kipato.
Huo mfano wako wa Bombania kukosa spare yaani ni point ya 99 kwa umuhimu kati ya 100.
 
Back
Top Bottom