Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,436
Tanzania tuna ndege za Bomberdier, Boeing na Airbus.
Ndege zetu Ni mpya Sana na Ni nzuri Sana, Tena tulinunua kwa pesa taslim. Kama tujuavyo, usafiri wa ndege Ni wa gharama kubwa, Tena na vipuli vyake ni gharama kubwa, na vinauzwa tu na mzalishaji wa ndege.
Airbus ni Ufaransa, Boeing USA, na Bomberdier Canada. Hawa wote kwa sasa kwa namna moja au nyingine tuko nao vitani, Kama si Vita vya kiroho, Basi ni vya kiuchumi, wanasubiri tu, tuwaguse kisha wanuke.
Hivi ipigwa PIN kwa mfano vipuli vya ndege tutanunua wapi? Bei za black market tutaweza?
What am saying ;
Tusijifanye wagomvi wakati nguvu zenyewe za kukopa, turekebishe tulipokosea nchi ni muhimu na kubwa kuliko mtu mmoja, all this is a fall kwa kwa mtu mmoja kuwa mbabe.
Magufuli jishushe kuokoa wanyonge, kauli za kusema tuna Vita ya uchumi hazina maana kwa sasa. Vita na nchi za Ulaya utaiweza? Umekosea, kubali makosa, rudi nyuma jirekebishe maisha yaendelee