Tukivuna, tunahifadhi huku

Kwende dungu kama hilo, usiombe waingie panya buku humo...
 
Isije kuwa mnavuna hii kitu alafu mnaweka humo...
 
Kikumbi au kihenge (barn),
Wachagga ulezi wao wakivuna unahifadhiwa huku, usiombe kunywa chicha lake lenye msesewe!
 
sasa hapo mkivuna mnaaingizaje mazao humo ndani mimi mbona naona pamefungwa kote?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…