Tukio lipi linauma sana katika mapenzi?

Tukio lipi linauma sana katika mapenzi?

chumanile

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
300
Reaction score
342
Hbr wana jamvi.najiuriza kwa nini MTU hufikia kufanya maamuzi magumu kisa mapenzi?kuna nini ndani ya mapenzi mpaka kinawatesa watu?kuna siri gani ktk mapenzi kiasi ambacho MTU awaze kuvumilika,kusia,wala kuona juu ya mapenzi?
JIULIZE...??
IMANI YA KIROHO NA MAPENZI KIPI KINANGUVU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi leo ndo kjna mkesha wa mwaka Mpya?
Au kesho ni tar 31?

Kwa kweli hakuna kitu kinaniuma kama kumuacha john.. John alinipenda sana john sijui kama ntapendwa tena kama vile[emoji22][emoji22]
Nakukumbuka john
Nsamehe nlikua sijakomaa sawasawa
Sikujua kama mwanaume kama hajipendi una uwezo wa kumbadilisha

Yaani unamuacha mtu sababu hajipendi yeye[emoji38][emoji38][emoji38],sasa wewe inakuhusu nini!!!
 
Hivi leo ndo kjna mkesha wa mwaka Mpya?
Au kesho ni tar 31?

Kwa kweli hakuna kitu kinaniuma kama kumuacha john.. John alinipenda sana john sijui kama ntapendwa tena kama vile[emoji22][emoji22]
Nakukumbuka john
Nsamehe nlikua sijakomaa sawasawa
Sikujua kama mwanaume kama hajipendi una uwezo wa kumbadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejileta mama nimekisikia kilio chako tusahau yaliyopita tuanze upya japo ww ulinitenda, kile kidonda uliyonisababishia kimeshapona karibu mama mlango ni wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kufumania demu wako wa chuo analiwa ambaye umemsomesha kuanzia form 4.
 
Hivi leo ndo kjna mkesha wa mwaka Mpya?
Au kesho ni tar 31?

Kwa kweli hakuna kitu kinaniuma kama kumuacha john.. John alinipenda sana john sijui kama ntapendwa tena kama vile[emoji22][emoji22]
Nakukumbuka john
Nsamehe nlikua sijakomaa sawasawa
Sikujua kama mwanaume kama hajipendi una uwezo wa kumbadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuckia, nimekusamehe, unitafute baada ya sikukuu zote kuisha ili tuanze upyaaaaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna kitu kinauma kwenye mapenzi kama kuombwa vocha hasa hasa za buku au jero
 
Mapenzi kuumiza nimazoea tu na public figures kama wasanii wanazidi kuyapa promo kwamba yanaumiza, lakini kimsingi tungekua tukijua kuchapiwa ni utamaduni tungekua kama kuku tu demu wako anapandwa halafu we unakula zako mchele!!!!
 
Back
Top Bottom