Uchaguzi 2020 Tukio la Nyamongo lilivyozima shughuli ya Iringa

Nadhani Chama tawala wanakwama kwenye mikakati, nadhani dola inawaangusha wakiwa na Jambo lao.

Leo tukio la Polisi Nyamongo limechukua headlines social media nakufunika kampeni za Iringa zilizoandaliwa for five days. Hii kwenye siasa haitokei bahati mbaya, aidha Mwenyenzi Mungu anawachapa au binadamu wanawahujumu.

Ukikosea kwenye TIME and TIMING, Strategicaly umekwisha. Tunazidi kupotea kwenye ramani, gharama za kuzoa watu wilayani kuwapeleka mjini na kutumia wanafunzi mwisho wake ndo huu.

Siyo wakati wote dola inasaidia wakati wa uchaguzi dola ukasirisha zaidi wapiga kura.

NYAMONGO vs IRINGA
Kwani huko Iringa kuna nini vileee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Chama tawala wanakwama kwenye mikakati, nadhani dola inawaangusha wakiwa na Jambo lao.

Leo tukio la Polisi Nyamongo limechukua headlines social media nakufunika kampeni za Iringa zilizoandaliwa for five days. Hii kwenye siasa haitokei bahati mbaya, aidha Mwenyenzi Mungu anawachapa au binadamu wanawahujumu.

Ukikosea kwenye TIME and TIMING, Strategicaly umekwisha. Tunazidi kupotea kwenye ramani, gharama za kuzoa watu wilayani kuwapeleka mjini na kutumia wanafunzi mwisho wake ndo huu.

Siyo wakati wote dola inasaidia wakati wa uchaguzi dola ukasirisha zaidi wapiga kura.

NYAMONGO vs IRINGA
Sijakupata, Kwani Iringa Kuna Habari Gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom