TUKIO LA MWAKA..mchumba kakmbia na mimba..Ushaur pls

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
Jamani...
Rafiki yangu kapatwa na sokomoko la mwaka!
Ni hvi, jamaa anasoma Chuo kikuu Arusha na ana mchumba wake ambae wamepanga kuoana miez michache ijayo!

Cha kuskitsha, mchumba wake ambae tayari ana mimba amehtimu masomo ya ualimu wa shule ya msingi... Huko Lindi!

Walpangana aje had Arusha, then bint akafka Dar. Mara akapgiwa cm na mschana ambae hamjuw, yule mchumba akakasrika na kubadili njia, ameenda UDOM kwa bwana mwingne!

Kagoma kuja kwa msela wangu, na mimba yake ya miez minne! Jaman, dunian kuna mambo! Tumempgia cm kacema hawez kuja, tukamwambia huyo mkaka, mimba utafanyaje?!

Kitendawili, wacha tuone wakuu mnasemaje?
 
dada Merytina, mimba ya huyu mshkaji..100%
Asikudangaye mtu anayejua ukweli ni huyo mwanamke.Kumbuka DNA test in Africa has revelled that 78% ya watoto ni wakuchomekeana

Huyo jamaa yako wala asiumie atafute mdada mwingine mbona wengi tu atapata
 
Marytina yuko sawa,haiwezekani bint akurupuke tu kwenda kwa mtu huku anaujauzito wamtu mwingine,inawezekana akawa ameenda sehem husika,mwambie jamaa aendele na maisha yake!
 
apande bus aende Dom,kama kwel mimba yake,huyo mwanamke c mvumilivu kasa..

loh, hyo ni kweli!
Lakn mi nimemmwambia msela atulie, huwez kujua Mungu kapanga nn! Yaan dem anagoma na kukasirika kinoma! C tunamwacha ajute baadae...
 
dada chiboko kakimbia na :mimba: ya watu
anajipa moyo alikuwa naye............. anayejua ukweli wa .............. mwanamke
ashukuru Mungu hajasingiziwa
 
Merytina u have said it all...nliposoma hilo ndo wazo pekee lililonija!!!
 
Najua Mentor hujaelewa hii ishu!
Wacha uamini visivyo!

Kwa kweli ndugu naomba kueleweshwa zaidi....kwanza nisamehe kwa kudandia treni!
Kutokana na maelezo yako, dada kafika Dar kageuza kwenda Dodoma kwa mwnume mwingine..huna uhakika huyo mwanaume wamekutana lini, au wamejuana tangu lini..umejitetea kwamba wamejuana juzi..u never know brother!

Alafu kuna kitu umeongea sikuwa nimekiona, huyu jamaa yako inaezekana ni kicheche sana...maana umesema kilichochangia binti kwenda dodoma ni kupokea kwake simu from mschana asiyemjua!!!
Maelezo yako hayajajitosheleza ndo maana nikajaribu kujibu nilivyoelewa....ila samahani tena kwa kuchangia bila kuelewa!
 
. jamaa yako amshukuru sana mungu kamuepusha na bambikizi! achana na mwanamke wewe!! wana siri nzito sana mioyoni mwao, unajifanya kuwajua sana eeenh ushaona kile kitabu cha kumuelewa mwanamke kilivyo kikubwa!! hahahahahahahaha
 
Pasco_jr_ngumi, jaribu kutumwagia pia huyo msichana aliyempigia shemejiyo alimweleza nini? Na je hadi sasa jamaa yako anasemaje?
 
Pasco_jr_ngumi, jaribu kutumwagia pia huyo msichana aliyempigia shemejiyo alimweleza nini? Na je hadi sasa jamaa yako anasemaje?

jamaa hapa chuo alikuwa na gf, penz lao ni ful maugomv tangu wanaanza chuo. Mwshon wakaachana mwaka jana mwanzon. Huyu mdada akacema lazma atamlpa k2 flan, juz cjuw namba ya mchumba wa mshkaj kapata wap, c akamtwangia akiwa anajiaandaa... Then mdada akazma cm 3 days, akatorokea huko Udom,jana akatuma ujumbe kwa namba mpya akdai kuwa mshkaj wangu ana mke na watoto ndo maana kaenda huko dodoma...
 
aaaaah hiyo story nshaipata...ila inavyo onekana huyo dada nae alikua na huyo mshkaj wa UDOM long sinceso alikua tu anantafutia sabab
 
Back
Top Bottom