TUKIO LA MWAKA..mchumba kakmbia na mimba..Ushaur pls

Inawezekana hiyo mimba siyo yako mshikaji!

That is blessing in disguise!! Do not blame yourself, it is not too late, take a chance and start picking your pieces again.....
 
Asikudangaye mtu anayejua ukweli ni huyo mwanamke.Kumbuka DNA test in Africa has revelled that 78% ya watoto ni wakuchomekeana

Huyo jamaa yako wala asiumie atafute mdada mwingine mbona wengi tu atapata
Mkuu taratibu bwana, usije kupotosha watu bure hapa. Sema 78% ya watu waliofanya hilo jaribio la DNA, na sio 78% ya watoto wote wa Afrika kama ambavyo kauli yako inaashiria.
 
Na kama kweli anayo mimba yenyewe!!
MJ1 pamoja sana. Unajua inawezekana muda wote huo, huyu jamaa alikuwa analea mimba hewa. Halafu mbaya zaidi kumbe kuna wajanja wengine wanajimegea kiulaiiiiini. Mimi nadhani huyo dada hajapokea simu wala nini, ni kwamba tangu mwanzo alikuwa ana mpango wa kwenda kwa jamaa yake wa dodoma, na hiyo kaizua ili aitumie kama sababu tu. Mtoa mada mwambie jamaa asijisumbue atulie atapata demu mwingine. Afterall wako wengi sana, wengine hadi wanabembeleza.
 
bora huyu mdada kafanya mapema
mimba yawezekana imepelekwa kwa mmiliki halali.

Unajua kitakacho mkuta huko DOM???

Nitahitaji update zaidi, Mwanaume hataki demu wa kujileta kwa kuwa Plan A imeshindikana, Kwa hivo Jamaa wa UDOM alikuwa Spare Tyre??

DUh Mademu noma!
 
Mkuu taratibu bwana, usije kupotosha watu bure hapa. Sema 78% ya watu waliofanya hilo jaribio la DNA, na sio 78% ya watoto wote wa Afrika kama ambavyo kauli yako inaashiria.

You are Right na Ktk Hiyo 78% huenda wakawa Watu 1,000,000 Africa Nzima
 
Jamani...
Rafiki yangu kapatwa na sokomoko la mwaka!
Ni hvi, jamaa anasoma Chuo kikuu Arusha na ana mchumba wake ambae wamepanga kuoana miez michache ijayo!

Cha kuskitsha, mchumba wake ambae tayari ana mimba amehtimu masomo ya ualimu wa shule ya msingi... Huko Lindi!

Walpangana aje had Arusha, then bint akafka Dar. Mara akapgiwa cm na mschana ambae hamjuw, yule mchumba akakasrika na kubadili njia, ameenda UDOM kwa bwana mwingne!

Kagoma kuja kwa msela wangu, na mimba yake ya miez minne! Jaman, dunian kuna mambo! Tumempgia cm kacema hawez kuja, tukamwambia huyo mkaka, mimba utafanyaje?!

Kitendawili, wacha tuone wakuu mnasemaje?
Kulikuwa hakuna mimba inaonekana alimdanganya kuspeed up mambo yake, na huyo msichana aliyempigia ni nani na anahusikaje kwenye suala zima
 
Marytina yuko sawa,haiwezekani bint akurupuke tu kwenda kwa mtu huku anaujauzito wamtu mwingine,inawezekana akawa ameenda sehem husika,mwambie jamaa aendele na maisha yake!

Iyo ndo kuvuja kwa pakacha inaitwa. kunawezekano uyo kaka mimba siyo yake ye aendelee na maisha tu
 
Unajua kitakacho mkuta huko DOM???

Nitahitaji update zaidi, Mwanaume hataki demu wa kujileta kwa kuwa Plan A imeshindikana, Kwa hivo Jamaa wa UDOM alikuwa Spare Tyre??

DUh Mademu noma!

Mwsho wa cku utakuta wanakuja na vifurush mlangon wakilia kuwa wametoswa huko...

Nyie subir, yatakayojili nitawapasulia jipu pwaaaaaaaaa
 
Duniani hamna kiumbe mwenye siri kama mwanamke.yeye tu ndo anajua hiyo mimba ni ya nani.na mpaka amepata ujasiri wa kumtosa mshkaji most likely hiyo mimba si yake
 
Tunaangalia upande mmoja tu huenda huyo jamaa kamuona ndugu yako ni kicheche akaamua ajitoe. Lakini kwa kuwa ni mtu wako au sijui wewe mwenyewe hutaki kuweka wazi uozo wa upande mmoja. Inawezekana kabisa huyo dada yuko sahihi!
 
mawazo ya watoto bwana yanachekesha sana ..mi nikajua kakimbia na hela kumbe mimba? mipaka mingapi pale muhimbili ina mimba?
 
Back
Top Bottom