Tukio La Kustajabisha Huko Gaza Leo

Yaani jama aliokota tear gas akifikiri anarushiwa sigara avute? Duh hawa jamaa wanasumbuliwa sana na waisrael ila hawakomi tu. Hakuna nchi ya kiarab itakayothubutu kucheza na Israel hata siku moja, watauliwa wote.
 
Mpigaji wa Bomu la machozi alipoona jamaa yuko karibu kurusha kilipuzi,ndio akamlenga kabisa,ndio mambo yakawa hivyo!
Hawapugi mabomu ya machozi kama askari wa bongo,ni gari inakua inafyatua mfululizo,ukisema kamlenga unakua muongo
 
Hawa watu wanatakiwa kutulia tu!
Maana naona wanafyekwa tu jamani!
Wakae na wamarekani weusi wawafundishe jinsi ya kuishi na wadhungu!
Wasalimu amri tu!
 
Back
Top Bottom