Hebu muangalie huyo mtu wa pembeni anae kimbia kisha ukae kimyaKwa tukio lililo la kustaajabisha unaweza dhani Editting ,lakini ukweli ndio huo mkuu!
Nimecheka sanaWengi utawaacha sanawari kwenye mataa leta Kwa lugha ya jiwe
Mkuu Kwa nn umefurahiNimecheka sana
Hawapugi mabomu ya machozi kama askari wa bongo,ni gari inakua inafyatua mfululizo,ukisema kamlenga unakua muongoMpigaji wa Bomu la machozi alipoona jamaa yuko karibu kurusha kilipuzi,ndio akamlenga kabisa,ndio mambo yakawa hivyo!
Hahaha eti lugha ya jiweWengi utawaacha sanawari kwenye mataa leta Kwa lugha ya jiwe
Usisome Kwa sauti mkuu nitatafutwa na kile kigari cheupeHahaha eti lugha ya jiwe