Tukio La Kustajabisha Huko Gaza Leo

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,521
12,616
[HASHTAG]#GAZA[/HASHTAG]> PICTURE OF THE DAY!

This terrorist was throwing a molotov kite towards Israel ... Failed.
He received a tear gas grenade in his face from the IDF soldiers!

And for more than a minute, this young Hamas terrorist was breathing smoke through his mouth and nose before collapsing and being transferred to a near by hospital.

[HASHTAG]#Gaza[/HASHTAG] [HASHTAG]#Terrorist[/HASHTAG] [HASHTAG]#Smoke[/HASHTAG]

H/t Laurant Kachauda
FB_IMG_1528483244819.jpg
 
View attachment 797981
Pichani ni Gaidi la Hamas huko Ukanda wa Gaza likiwa katika harakati zake za kurusha Kishada chenye kubeba moto kielekee upande wa Israel ili kikasababishe moto, alikwama baada ya Jeshi la Israel kumuwahi na kumrushia bomu la moshi la machozi usoni na kusababisha Atokwe na Moshi mwingi Mdomoni ,puani kabla hajaishiwa nguvu na kuzimika, aliweza kukimbizwa hospitali ya Jirani.

Hilo Bomu nadhani lilizama Mdomoni tu... Washaambiwa waache kuchezeshwa mziki na Ayatollah wa Iran hawasikii wanabaki kuumia wao. kweli Mjinga ni Mjinga tu
 
Road to freedom & justice is difficult and need resilience & sacrifices but for sure in the end the tyrannical apartheid Zionist regime will be the looser.
 
Pichani ni Gaidi la Hamas huko Ukanda wa Gaza likiwa katika harakati zake za kurusha Kishada chenye kubeba moto kielekee upande wa Israel ili kikasababishe moto, alikwama baada ya Jeshi la Israel kumuwahi na kumrushia bomu la moshi la machozi usoni na kusababisha Atokwe na Moshi mwingi Mdomoni ,puani kabla hajaishiwa nguvu na kuzimika, aliweza kukimbizwa hospitali ya Jirani.
Hilo Bomu nadhani lilizama Mdomoni tu... Washaambiwa waache kuchezeshwa mziki na Ayatollah wa Iran hawasikii wanabaki kuumia wao. kweli Mjinga ni Mjinga tu
Mkuu Mlaleo umetafsiri ipasavyo.Big up!
 
Mpigaji wa Bomu la machozi alipoona jamaa yuko karibu kurusha kilipuzi,ndio akamlenga kabisa,ndio mambo yakawa hivyo!
 
Pichani ni Gaidi la Hamas huko Ukanda wa Gaza likiwa katika harakati zake za kurusha Kishada chenye kubeba moto kielekee upande wa Israel ili kikasababishe moto, alikwama baada ya Jeshi la Israel kumuwahi na kumrushia bomu la moshi la machozi usoni na kusababisha Atokwe na Moshi mwingi Mdomoni ,puani kabla hajaishiwa nguvu na kuzimika, aliweza kukimbizwa hospitali ya Jirani.

Hilo Bomu nadhani lilizama Mdomoni tu... Washaambiwa waache kuchezeshwa mziki na Ayatollah wa Iran hawasikii wanabaki kuumia wao. kweli Mjinga ni Mjinga tu
Siyo guide,ni freedom fighter au mpiganampiganaji wa Hamas.
 
Sasa gaidi ni nani hapo? Wayahudi na nchi ya Israel na uhuni wanaowafanyia wapalestina ndio magaidi wakubwa. Nchi ya sheitwan. Fcuk Israel. [HASHTAG]#FreePalestineNow[/HASHTAG]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom