Tukio la kusikitisha Arusha leo



Soma hapa chini...

Kwani nurse anatengeneza oksijeni. Amekabidhiwa mgonjwa kwenye gari na mtungi wa gesi sasa kama imeisha angerefill kwa kujambia?
 
Matibabu sio fani ya kubahatisha kama siasa. Alipaswa kukagua gari na gauge ya mtungi wa gesi ikionyesha mshale kwenye rwd unapaswa kubadilishwa mara moja.

Umejaribu kufikiria kuwa huwenda gesi ilikuwa ya kutosha lakini kuna mambo mengine yaliyozuia gari kwenda kasi mathalani miundo mbinu n.k?
 

Sasa na ww christina mbona unaongea kama hauna kichwa!
Suala sio utajiri !
Mgonjwa hakuweza kufika hata moshi.We Unadhani india angefika.??
Na unaposafirisha mgonjwa mahututi. Ni kanuni za kiuguzi kuhakikisha oxygen inatosha na gari ya kusafirishia ni nzima.

Na kama huna hakika lazima ukatae.
Huyo ni kiumbe unamsafirisha sio vitumbua! Alaaa.
Mbona watz wagumu namna hii kuelewa? Au mpaka mikwaju kwanza.
Mvfssssssss!
 
Why so judgemental? You have just heard the story from one side, how sure are you that it is not biased?
 
Sasa unataka CCM izuie kifo cha mtu hata kama ahadi imefika? basi tungeanza na Nyerere.

Mpumbavu na Mjinga ni watu wa kuchoma. Umeambiwa oxygen iliisha wakiwa njiani!
 
Inasikitisha but nikwamba mgonjwa mwenyewe niwakisomali na alishadanja njiani so nesi akaona hamna haja yakwenda tena KCMC ndo akawapa reason yakua oxygen imeisha .


Acha upuuzi LAANA KUM wewe! Mwacheni Ahmed apumzike kwa Amani katika nyumba yake ya milele! Ni Jana tu tumemlaza Ngaramtoni, ni Pneunomia ndio imemuondoa. Hata mkitoa povu vipi! Kubalini askofu Laizer kawaingiza mkenge.. Pale ni majengo tu hamna Huduma hata Huduma zao za mochwari ni mbaya pumbavu zenu... Kitakachofuatia ni kuitia kiberiti tu MoU mchukue afu msiboreshe Huduma pumbavu kabisa
 
Naona kila kitu tunasingizia CCM lack of accountability kwa baadhi ya wafanyakazi nalo ni tatizo unapofika hospitalini ukakutana na muuguzi anayekunywa chai wala asijitingishe kukushughulikia mpaka amalize chai yake nayo itakuwa CCM ,what if anayetakiwa kuhakikisha iyo mitambo ya oxygen inafanya kazi vema hafanyi kazi yake ipasavyo.

Hembu tuache umburula wa kubebesha mizigo chama huku tukikimbia majukumu yetu CHADEMA ikiingia madarakani hayo hayatatokea???
 
Kitendo walichokifanya ni kujichukulia sheria mkononi ambavyo ni kinyume cha sheria ingawa hoja yao ni ya msingi.
 

Ndugu yangu kubishana na mwenda wazimu, utaumia kichwa hawa watu wenye kutoa comments za namna hii kwa marehemu, ni watu ambao kwanza akili mungu kawanyima, halafu na elimu wizauti, sasa kumregebisha huyu ni bora kubebea mlima Kilimanjaro, unaweza fanikiwa kuliko kumstaarabisha kiumbe huyu,
Sisi tunaita "sio rizki"
Mungu amlaze al marhum pema peponi,
ameen
 
Lawama si mzigo,nesi afanyeje kama mgonjwa kwisha Kcmc wakatalii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…